Kama kawaida asubuhi zili2mwa gari aina Ya fuso kwenda nje ya mji kukusanya wanakijiji waje mjini,bt wajanja 2likua majimaji,equator na jambolee 2nafanya yanayo2husu.angalia vema hapo 98%ni wazee,1.9 ni watoto,0.1 vijana wasiojitambua.
jipe moyo......... huoni hawa watu wako jukwaani? watu wa songea wanavyopenda maikutano unadhani wangeenea jukwaani? ngoja chadema waje uone kama hiki kijukwaa kitatosha....... people are waiting for M4C
Avae ya khkaki kwani anaenda kuwinda? Magwanda ya kijani ndio Orijino, toka enzi za TANU youth league. Hayo ya khaki walikuwa wakivaa wakoloni na watalii wa kizungu wanapotembelea mbuga za wanyama wanapoenda safari za kuwinda na ya kijivu ni ya mgambo.