CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI

Gazeti haliuzi hata nakala 200 sasa linapata wapi watu wa kufanya utafiti?
 

Nyie si mnapigaga kura kabla wananchi hawajapiga kwa kushirikiana na Tume yenu, lakini siku ipo hii nchi mtaiona chungu pala umma utakapo Amua kurudisha mamlaka yake!
 
Hawa watafiti wenye
akili za maiti bado
wapo tu!
 

Hivi wewe ndiye huyo Mwigulu wa CCM tunayemsikia kila siku au mwingine?? Nauliza hivyo kwa vile yule ninayemsikia nilifikiri ana uwezo mkubwa wa kufikiria ................. Kama ndiye wewe then Tanzania tuna kazi kwelikweli. Kama mpaka leo hujui kuwa Bush siyo Rais then inaonyesha ni jinsi gani uwezo wako wa kufahamu mambo ulivyo chini?? Na kama unayodai kuwa huo uchaguzi ni formality then kwa nini mnafanya campaign.........??? Halafu si tulisikia kuwa ulihojiwa na PCCB kwa kugawa pesa huko Arumeru?? Inaelekea akili zako hazina tofauti na za Kasweeeeeety!!!
 
Huu ni uongo mtakatifu unaofanywa na gazeti la Lowasa ambaye ni mkwe wa Sioi mgombea wa CCM. Mimi niko arumeru kwa wiki na nusu hivi na nmekua nkifuatilia muenendo wa kampeni pande zote na mijadala ya wananchi maeneo mbalimbali. Hawamuamini kabisa huyo mgombea wa CCM. Mbinu kubwa ya ccm sa hv n kugawa pesa na kununua shahada . kwa hili labda watafanikiwa coz wameshazuia wote waliopoteza kadi wasipige kura.
 

Unataka kuniambia Messi nae atakuwepo? Ha! Ha! Ha! Ha!
 

JIDANGANYE HIVYO HIVYO WAKATI WATU MNAOWACHIMBA MKWARA VIJIJINI WANAPOKEA HELA NA AKILI KICHWANI MWAO WANAJUA WATAFANYA NINI TAREHE MOJA ......................... KAMA UNATEGEA KUCHAKACHUA Meru siyo singida just wait watu wa meru wamekshtukia kuwa majimbo yenu na kina wasira ni miongoni mwa majimbo ya watu wajinga na masikini wa kina kitu sasa linganisha na meru ................ tuliosimamia LEMA akashinda tutakuwepo mpaka dakika ya mwisho we subiri na huyo ALIYETOBOA SIKIO :crazy:
 

Kweli ccm imetawala TZ na siyo kwamba inatuongoza!
 
Tujapopita kati ya bonde la maharamia na mafisadi ya magamba hatutaogopa lolote kwa maana Mungu yu upande wetu. CDM kaza mwendo nguzo ya moto ulao i nyuma yako. Utashinda!
 

SI UNAJUA NCHI HAINA VIONGOZI IN WASHIKAJI TU, HUJASIKIA MKAPA ALITANIA KWENYE UFUNGUZI

Na waziri wa sheria na katika alishasema alikuwa anatikisa kiberiti kukataa katiba mpya, HATA WABUNGE WA CCM WALIKUWA WANA TANIA AU KUTIKISA KIBERITI WALIVYODAI POSHO 330,000 KWA SIKU

HATA SIOI ANATANIA TU WAMERU ................. KAMA MKAPA ALITANIA SEMBUSE HUYU MTOBOA SIKIO:crazy:
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!

Mkuu sijui kama ni wanachama ama la ila jambo moja ni wazi nalo ni kwamba CDM wanawategemea vijana toka Arusha Mjini. Hawa vijana hujaa kwenye kampeni za CDM sasa sijui kama wamejiandikisha kupiga kura huko. Hii kitu inaweza kuja kuwa upset CDM.
 

hakika moyoni unasutwa maana akili inajua inaudanganya moyo bila woga. ingelikuwa ni ukweli basi msingetumia nguvu kubwa kiasi hiko mkisaidiwa na nguvu ya dola. unajua wazi kuwa chadema iko juu kuliko ccm. chademandio itakayomkomboa mlalahoi na sio mafisadi ccm.mwizi siku zote hana huruma kwa yule anayemwibia.
 

Hii sijaipenda. Kama mawazo ya kikoloni vile!
 
Kule Arumeru mashariki itakuwa miujiza mikubwa sana CCM wakishindwa. Chadema badala ya kung'ang'ania majimbo mapya, ingeenda majimboni waliko wabunge wake kuokoa jahazi ili 2015 wasijepigwa chini kwa hali ilivyo sasa hivi. Kimahesabu, Ezekiel Wenje, Mr II, Opulukwa na wa ubungo wamekali kuti lililooza. Matarajio ya wapiga kura yako tofauti kabisa na matendo yao.

Ngoja tuone...
 
...hapo hakuna utafiti wowote ulifanywa zaidi ni kuandaa mazingira ya wizi wa kura(kuchakachua)...CDM kuweni makini,wizi wa kura umeanzia kwenye magezeti(RAI) msikubali ufike kwenye box la kura...
Haya nayo ni mawazo mfu timu itoayo visingizio
kabla gemu kuanza tayari imeshashindwa
CDM visingizio kibao kabla ya gemu....
 
Mwigulu mimi nilikuona boya siku unawadanganya Wameru kuwa wamchague Sioi eti yeye ndo an akubaliana na sera za serikali! Je ina maana majimbo yanayoongozwa na wapinzani hamna m aendeleo kwa kuwa hawakubaliani na sera za CCM? pia tuambie kama sera za CCM ndo zinaleta maendeleo kwanini tum ebaki masikini miaka hamsini ya uhuru? Naomba tuwe wakweli na naamini hiyo dhambi ya kuongea uongo lazima ikutafune.Kama huna cha kuongea kaa kimya kamaNape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…