MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
nawewe unafaa kuwa MRS TYSON a.k.a stive wasiri
id yako yenyewe inatia kichefuchefu inaonyesha wazi unatumia Masaburi kufikiri,
unafaa kuwa Mrs MWINGULU MCHEMBA
Unakwenda kufanya utafiti baada ya kupanga matokeo unategemea nini? Hivi RAI c ndo gazeti la RA na wenzake? Kama Uhuru tu!
Utajipa moyo sana lakini amini usiamini safari hii utalia machozi!Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
unafaa kuwa Mrs MWINGULU MCHEMBA
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!
rais bush kuwa rais wa tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini ushindi wa ccm uko given kama jua kuzama
angeeleza vigezo wa SIYOI kushinda tungemwelewa, hayo mambo ya BUSHI anamweleza nani?Jamani wana Jf wenzangu tujaribu kuwa wakweli japo mara moja tu. Tunamshambulia Mwigulu Nchemba kwa kauli ya kukipigia debe chama chake je hatujasikia kauli kama hizo kutoka upande wa chadema? Tuna threads hapa zenye vichwa vya habari " Chadema ushindi lazima Arumeru" au chadema msikubali kushindwa Arumeru. Je tulitaka Nchemba aseme CCM itashindwa? hakuna siasa za namna hiyo duniani kote!!!! kama siasa za kukili kushindwa zipo basi CCM haina maana kushindana Arumeru ......ingejitoa kama CUF lakini kwa kuwa wanashindana na wao wanategemea kushinda kama chadema wanavyotegemea kushinda.
Bongo kuna utafiti? Anayegombea ni mfuasi wa RA na EL sasa unategemea utafiti utafkuwa tofauti? Majibu ni tarehe 1 April
ukirusha mshale gizani ukaskia chwi chwi chiwiii ujue kuna aliyechomwa.Ikiwa id yake inatia kichefuchefu, yako "Msoffe" inatapisha na kuharisha, inatia kipindupindu, kuna "Msoffe" akawa "angel"? kwi kwi kwi kwi teh teh teh!
huyo MWINGULO amekukameroon kwanza ndo akakupa tikiti ya kwenda kwa David ndo mana unamsifia sana.hapo ulipo Unajiona unakismatii!Mwigulu Nchemba ana tiketi za bure kuwapeleka watu kama nyinyi kwa Cameron. Mpigie simu 071539876 kachukue tiketi yako ya bure.
"masikini akipata Masaburi hulia Mbwata!!"Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
Lakini wanaopiga kura ni wale waliojiandikisha, na si lazima wawe wanachama wa chama chochote cha siasaHata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!
unampenda cameroon yaelekea mambo yake yamekuchanganya sana!Heri mimi mwanamke je wewe unayefaa kuwa Mrs CAMERON TYSON Wasira. Ukileta hoja nitakujibu kwa hoja na tusi kwa tusi. hakuna asiyejua kutukana kama unaona matusi ndio njia bora ya wewe kuwa JF