CCM yaichinja CHADEMA Singida

CCM yaichinja CHADEMA Singida

Kaka kwa muda huu hakuna atakayekusikiliza na vipropaganda vyako feki. Tunahitaji mutatue kero zetu nyie maccm sio mnaleta mambo ya umbea hapa. Tumechoka na umbea wenu.
Yaani mtu mzima umekaa kabisa unaleta upuuzi huu huku unajua nini kinaendelea? Huu sio mpango sepa bana.

Wewe mbona umesikiliza na hata kujibu? Waachie na wengine "wasikilize" basi... Matatizo ya kudandia siasa ukubwani!
 
Wewe mwenyewe ni kero. Tutakutatuwa tu.

Ya ni kweli. Sio ajabu kusikia hilo kwani hata viongozi wako walishatuzarau kwa kuwaita watu wenye kudai chao kuwa ni wahaini. Mbona siku zenu zinahesabika nyie mambulula.
 
Wewe mbona umesikiliza na hata kujibu? Waachie na wengine "wasikilize" basi... Matatizo ya kudandia siasa ukubwani!
Kaka siasa haina rika. Usijione upo lichama lako ulilopewa cheo kwa ajili ya ushemeji. Mi ni kijana mwenye fikra sio fikra kama zako za kimagamba.

Mnachotaka kututoa kwenye mada muhimu kutuleta huku. Kwa taarifa yenu hamumpati mtu.
 
Join Date : 25th November 2012
Posts : 20
Rep Power : 315
Likes Received0
Likes Given0

Bado haujitambui kama huna hoja zinazoguza watu humu JF tangu umejiunga hakuna anayekupa like, anzisha ID nyingine uwe unajipa Like mwenyewe angalau ujifariji kwa ujinga ulionao.

Kilaza kama viongozi wake
 
Kaka kwa muda huu hakuna atakayekusikiliza na vipropaganda vyako feki. Tunahitaji mutatue kero zetu nyie maccm sio mnaleta mambo ya umbea hapa. Tumechoka na umbea wenu.
Yaani mtu mzima umekaa kabisa unaleta upuuzi huu huku unajua nini kinaendelea? Huu sio mpango sepa bana.

mbona wa CCM wakihamia CDM mnasema so huo ni upumbavu nao?? Me sipend jitu linaloona jema linatoka kwake hili ni jukwaa la siasa so chadema kuhamia CCm lazima watuabalishe kama mm nlkuwa sijui acha chuki,"wanasiasa wanasababisha sisi tunauwana wenyewe kwa wenyewe familia zao kwao ziko salama si tunauwana wenyewe" usijenge chuki hata huyu Dr. Slaa anapiga kelele na kuisema CCM kisha anakaa meza moja na JK anakula na kucheka ww unajenga chuki imekula kwako
 
Tatizo hujui maana ya siasa kubwa jinga. Siasa ndivyo ilivyo. Ila kijana kama mimi hata watu 10000000 wakitoka CCM wakija CDM haimaanishi nitafurahi. Kijana kama mimi nataka kuona mabadiliko yanayotokana na siasa sio siasa inayotokana na mabadiliko. Huwezi kunilazimisha nisikilize kila kitu mtu anachosema. Ninachosimamia hapa ni kama wewe kijana jaribu Kuangalia vizuri nafasi yako ya kulitetea taifa lako.

Kumbuka mabadiliko ni mimi na wewe upo kubwa jinga?
 
Wanachama 270 wa CHADEMA Singida wameenda CCM kupinga sera ya CHADEMA kuwazuia kuchangia miradi ya maendeleo.

source : RFA leo saa 12:30 am
 
Kumbe cdm ina wanachama wengi hv? Maana hao nadhani ni 1/100 kwa eneo husika. Peoples power
 
people poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeers................cdm kama waisrael tu.cdm mmoja milion ccm...nyie mna hela sisi tuna mungu..
 
Hahahahahahahahahahaha,kula ccm kulala cdm!!!!!!!!! Mwendo mdundo!!!! 2015 hii hapa endeleeni kununua wanachama!!!!!!!!!!!
 
Kumbe cdm ina wanachama wengi hv? Maana hao nadhani ni 1/100 kwa eneo husika. Peoples power

Kama kweli wewe ni mwana CHADEMA hupaswi kuliangalia hili kwa jicho lako hilo moja,unapaswa kutumia macho yako yote mawili,vinginevyo labda kama wewe ni walewale ambao wanaipenda CHADEMA kiunafiki.Chama ambacho kinapambana katika kuhakikisha kwamba kinachukua nchi na hasa katika dakika mbaya kama hizi kinapopoteza mwanachama mmoja ni aswa na kupoteza watu 10 kutokana na huyo mmoja,kwa hiyo ni jambo la kujadili kwa kina na kuona makosa yako wapi!
 
nadhani hao ni wafuasi wa magamba walinunua card za CDM SASA WANAJIFANYA KUZIRUDISHA KWA MBWEMBWE ILI TUJUE NI WANACHAMA WA CDM.NENDA KAWADANGANYE WATOTO WA CHEKECHEA NDO WATAKUELEWA.
 
Wanachama 270 wa CHADEMA Singida wameenda CCM kupinga sera ya CHADEMA kuwazuia kuchangia miradi ya maendeleo.

source : RFA leo saa 12:30 am
Kuna post hapa nilimuona Mhe Kinana akigawa fedha live bila wasi wasi rushwa hadharani sera za CCM haya endeleeni!!!!!

Katika msafari wa gesi pia kuna mafuta ya taa,.
 
Rfa ni radio ya mkiti wa ccm mkoa wa mwanza na hivi karibuni imekua ikiripoti ujinga na upuuzi wake kuhusu wanacdm kuhamia ccm.
 
RFA mtajiribu lakini hamtoweza,CCM mtang'ang'ana lakini la kuvunda ..nevertheless 2015 the mass should retain its glory.
 
Mwenye akili timamu atajua kwamba hiki nikiini macho.Haiwezekani mtanzania anapewa unafuu wa mzigo wa maisha and then yeye anang'ang'ania kuubeba.
 
Back
Top Bottom