CCM yahalalisha rushwa Igunga - Yaibana TAKUKURU

CCM yahalalisha rushwa Igunga - Yaibana TAKUKURU

Jethro;2428743]

Na hao ndugu zangu wa Igugnga watafanya hivyo ujue kwani watatishiwa kuwa anagalieni CCM ilicho wafanyieni kipindi cha Rostam yote hayo yalipitia kwa CCM kutatokea maneno ya ajabu lakini ukija baini undani wa maendeleo ya ndugu zangu hapo ingunga utachoka maana upendeleo wa kuleta maendeleo ulitizamwa kweli katika kila wilaya?????

Awali nilikuwa sina picha kamili kwani nini baadhi ya nchi wanaamua kunyanyua majambia kudai haki zao, hayo sasa yamejidhihirisha hapa kwetu vyombo vya kutetea na kutendea haki vinageuzwa ngao na kinga ya watawala dhidi ya watawaliwa, hatima yake uvumilivu unafikia kikomo.
 
Kama babu loliondo angesema ana dawa ya ushindi na hakika CCM wangekuwa wa kwanza kwenda kunywa, wao wako tayari kufanya lolote kuhakikisha wanapata ushindi wa Hila kwa gharama yeyote!!Baada ya mkwara huo unadhani Takukuru wana jeuri ya kuwauiliza tena?
 
Africa bado tuna safari ndefu mno kufikia demokrasia ya kweli.
 
Back
Top Bottom