Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
CCM kimesema kuwa fedha zilizogawanywa miongoni mwa wajumbe wake katika kura za maoni Jimbo la Igunga hazikuwa za rushwa, bali zilitolewa na chama.
Maelezo hayo yametolewa na chama hicho kufuatia taarifa za wanachama wake watatu kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) katika eneo la ukumbi wa mkutano wa kura za maoni na baadaye kuachiwa.
Mwigulu aliwataka maofisa wa Takukuru kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake kwa kufuata kanuni na taratibu zao za kazi.

WAITUMIA TAKUKURU SALAMU

Mwigulu alisema Takukuru inapaswa kutambua kuwa CCM inapowaita wajumbe kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya mikutano na vikao, gharama za uendeshaji ni juu ya chama na ndicho kilichofanyika katika mkutano huo. "Sisi kama Chama Cha Mapinduzi tunapoita wajumbe kutoka sehemu mbalimbali hatutarajii wajumbe wetu wajitegemee, ni CCM inayoingia gharama zote kuanzia kusafiri, kula na kulala hadi mkutano utakapokwisha," alisema Mwigulu.

Alisisitiza kuwa hicho ndicho kilichofanyika Igunga kwa kuwapa wajumbe fedha baada ya kufika mkutanoni. "Ninasikia ni kuwa TAKUKURU waliwakuta mkutanoni hapo na si kwinginepo," alisisitiza. Mwigulu alisema Takukuru na vyombo vingine watambue kuwa fedha hizo hazikuwa za wagombea bali ni mfuko wa chama.

Alisema: "Taasisi itambue kuwa vipo vikundi vya uhamasishaji ambavyo vinakusanywa kwa ajili ya maandalizi, ni wajibu wa CCM kuandaa na kugharimia safari zao na malazi hivyo ni wajibu wa taasisi (Takukuru) kupata maelezo kuhusiana na hilo isijekutokea wakadhani kuwa wanapewa rushwa."

Aidha, akizungumzia uchaguzi huo, Mwigulu alisema wakati vyama vya siasa vikikimbilia kuchukua fomu, CCM inajipanga kwa ajili ya ushindi mkubwa na wa kishindo.

"Ninachotaka kuwaambia kuhusiana na uchaguzi ujao ni kwamba, ushindi uko wazi kwa CCM kwa kuona mtaji mkubwa uliopo na hasa vijijini," alisema. Alisema kuwa vyama vinapaswa kujipima na bora kujitoa mapema kuliko kuanza malalamiko na kukimbilia Takukuru.

IPPMedia
WAITUMIA TAKUKURU SALAMU
Mwigulu alisema Takukuru inapaswa kutambua kuwa CCM inapowaita wajumbe kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya mikutano na vikao, gharama za uendeshaji ni juu ya chama na ndicho kilichofanyika katika mkutano huo. "Sisi kama Chama Cha Mapinduzi tunapoita wajumbe kutoka sehemu mbalimbali hatutarajii wajumbe wetu wajitegemee, ni CCM inayoingia gharama zote kuanzia kusafiri, kula na kulala hadi mkutano utakapokwisha," alisema Mwigulu.
IPPMedia
Mkuu nakubariana na wewe kabisa! yaani umeongea point za kushiba. CCM ni sawa na jini linyonyalo damuHelmut Kohl CDU-party finance scandal.
A party financing scandal became public in 1999, when it was discovered that the CDU had received and kept illegal donations during his leadership.
Investigations by the Bundestag into the sources of illegal CDU funds, mainly stored in Geneva bank accounts, revealed two sources. One was the sale of German tanks to Saudi Arabia (kickback question), while the other was the privatization fraud in collusion with the late French President François Mitterrand who wanted 2,550 unused allotments in the former East Germany for the then French owned Elf Aquitaine. In December 1994 the CDU majority in the Bundestag enacted a law that nullified all rights of the current owners. Over 300 million DM in illegal funds were discovered in accounts in the canton of Geneva.
The fraudulently acquired allotments were then privatized as part of Elf Aquitaine and ended up with TotalFinaElf, now Total S.A.
Mwisho lazima tuseme wazi kuwa hata EPA ilikuwa ni pesa kwa ajili ya chama na WABUNGE WOOTE wa CCM, ukianzia akina Sitta, Mwakyembe, Mwandosya, Magufuli nk hadi kwa Mafisadi woote walivuta Milioni tano za EPA. Ndiyo maana hutasikia wakisema kitu.
Huyo Mkapa, ni wa kuzomea huko Igunga kwani Ufisadi uliokubuhu ni yeye aliuleta.
WAITUMIA TAKUKURU SALAMU
CCM kimesema kuwa fedha zilizogawanywa miongoni mwa wajumbe wake katika kura za maoni Jimbo la Igunga hazikuwa za rushwa, bali zilitolewa na chama.
Maelezo hayo yametolewa na chama hicho kufuatia taarifa za wanachama wake watatu kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) katika eneo la ukumbi wa mkutano wa kura za maoni na baadaye kuachiwa.
Mwigulu aliwataka maofisa wa Takukuru kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake kwa kufuata kanuni na taratibu zao za kazi.
Mwigulu alisema Takukuru inapaswa kutambua kuwa CCM inapowaita wajumbe kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya mikutano na vikao, gharama za uendeshaji ni juu ya chama na ndicho kilichofanyika katika mkutano huo. Sisi kama Chama Cha Mapinduzi tunapoita wajumbe kutoka sehemu mbalimbali hatutarajii wajumbe wetu wajitegemee, ni CCM inayoingia gharama zote kuanzia kusafiri, kula na kulala hadi mkutano utakapokwisha, alisema Mwigulu.
Alisisitiza kuwa hicho ndicho kilichofanyika Igunga kwa kuwapa wajumbe fedha baada ya kufika mkutanoni. Ninasikia ni kuwa TAKUKURU waliwakuta mkutanoni hapo na si kwinginepo, alisisitiza. Mwigulu alisema Takukuru na vyombo vingine watambue kuwa fedha hizo hazikuwa za wagombea bali ni mfuko wa chama.
Alisema: Taasisi itambue kuwa vipo vikundi vya uhamasishaji ambavyo vinakusanywa kwa ajili ya maandalizi, ni wajibu wa CCM kuandaa na kugharimia safari zao na malazi hivyo ni wajibu wa taasisi (Takukuru) kupata maelezo kuhusiana na hilo isijekutokea wakadhani kuwa wanapewa rushwa.
Aidha, akizungumzia uchaguzi huo, Mwigulu alisema wakati vyama vya siasa vikikimbilia kuchukua fomu, CCM inajipanga kwa ajili ya ushindi mkubwa na wa kishindo.
Ninachotaka kuwaambia kuhusiana na uchaguzi ujao ni kwamba, ushindi uko wazi kwa CCM kwa kuona mtaji mkubwa uliopo na hasa vijijini, alisema. Alisema kuwa vyama vinapaswa kujipima na bora kujitoa mapema kuliko kuanza malalamiko na kukimbilia Takukuru.
IPPMedia
Watakao chagua chama kwa kupokea rushwa kwa nyakati hizi, kwa kweli historia itakuja wahukumu.
Hapo iangaliwe sheria ya uchaguzi , aiwezekani ugawe pesa wakati wa uchaguzi useme ni posho mbona awakugawa wakati si wauchaguzi? Jamani ccm hacheni vi2ko mmetuchosha jamani