CCM yahaha kuimaliza CHADEMA

CCM yahaha kuimaliza CHADEMA

Hii haisumbui mkuu, cha muhimu ni kile alichosema mwenyekiti Mbowe kuwa 2013 ni mwaka wa nguvu ya umma.Tuhakikishe tunapata tume huru na kuboresha daftari la wapiga kura.Hilo la kuhama wabunge halitakuwa na maana kwa tunahitaji wapiga kura wapya wenye mapenzi na cdm, daftari limejazwa upepo na ccm tukilisafisha upepo ule hawana pa kutokea.
 
... Iko wapi CCM B, ya Kubeba kinachobebwa na CHADEMA?

... CCM iliyopo? Mbona yahitaji marekebisho mabkubwa kuliko CHADEMA?

... Wako wapi Makamanda wa CCM B?

... Kama hawapo... CHADEMA itapeta hata kwa hali yeyote ile!!

... CCM wachana na CHADEMA ... Vunja Mapande mawili ndani ya CCM iliyopo and YOU R DONE!!!

... DO YOU DARE!!!!????!!!! I mean THE GUT!!!!???
 
Sidhani kama kuna chama DUME, kinachoweza kuhofu chama JIKE!!!!
 
Kiukweli viongozi na wanachama wa cdm huu ni wakati wa kushikamana pamoja. Ccm wanatamani sana kuivuruga cdm. Chama kilichobaki kikiisumbua ccm ni cdm basi.
 
Mpaka sasa tuna miti mingi lakini wanafunzi wanakaa chini,lakini CCM hawaoni haya ila wako busy kuihujumu CHADEMA loh
 
Hayo uanyosema ni ----- tu, Chadema isha jimakiza yenyewe, kama unabisha, subiri ujionee, miaka mitano ijayo watabaki kama NCCR mageuzi, una kumbukumbu za vipi Mrema alikuwa? Utajaza mwenyewe.
ulitamka haya 2010 na hii ni 2013 bado chadema ipo juu juu zaidi....umebakisha miaka miwili ya kuja kukanusha kauli yako.
 
Hayo uanyosema ni ----- tu, Chadema isha jimakiza yenyewe, kama unabisha, subiri ujionee, miaka mitano ijayo watabaki kama NCCR mageuzi, una kumbukumbu za vipi Mrema alikuwa? Utajaza mwenyewe.

Naona vijana wa Mwigulu mpo kazini
 
Wathubutu waone kama hawakutema nchi kabla ya muda wao. Hili ni neno la hekima.
 
Back
Top Bottom