CCM yafunika Mpanda

Chama tawala na maandamano ya nini huu ni wakati wa kushughulikia matatizo ya wananchi na kutekeleza ahadi badala ya kuandamana.


Sidhani kama CCM wanajuwa what to do any more- wamekuwa ni watu wa 'copy & paste' from CHADEMA. That's why ni muhimu kwa CHADEMA kushika dola maana ccm wamefilisika.
 
mbona naona wazee tuu.ndo kumanisha CCM inaelekea mwisho wake.chama ni vijana ambao katika hao wandamanajii siwaoni.UVCCM ni ya kwenye vyombo vya habari tu! CCM kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 

Kuna mtu aliwahi ku-comment kuhusu mabango ya CHADEMA akishauri kuwa yaandaliwe na chama na yasiwe machafu machafu. Mchangiaji mwingine aka-comment kuwa mabango ya CHADEMA yanaandikwa na wananchi wenye na yanaonesha uhalisia wa maisha yao na kero zao. Sasa naomba muangalie haya mabango ya hao wakina mama, binafsi siamini hata chembe kama mshika bango ameandika na wala sidhani kama anaamini yaliyoandikwa. There is something fishy kati ya 'wino' uliotumika na hata handwriting' Hivi kweli mama wa kijijini Mpanda anaweza kuwa na 'quality maker pen' ya aina hiyo?

Hata hivyo Nape ajue- si vyote ving'avyo ni dhahabu. yeye anataka kuonesha watu wengi wameendamana kuiunga mkono ccm, je ni kweli hao watu wamekuja kwa hiari yao?
 
Haya ni maandamano ya CCM si ya wananchi kama ya Chadema


Kusema wamefunika ni kichekesho. Tena waonekana hata kulindwa mtu asichomoke kupo na raia wengi wamebaki wakiwashangaa hawa waliokodiwa. Hii ni aibu na haina jina lingine.
 
hao hata 0.0005% ya waliohudhuria mandamano ya CHADEMA Mpanda hawajafikia!
 
mmmmh truly hawa watu hawazidi 300 .. na hawa 300 wamehongwa tshirt na tsh 5000.
 
Jamani kwanza naomba msaada lengo hasa la maandamano yao kuna yeyote ajuaye? anijuze! Please!😛ound:
 
mkuu huwa unatumia aina gani ya kilevi, au huwa unachanganya?




nimejaribu kuikuza hii picha mwanzo wa watu ni nape na mwisho ni yale magari, ukweli ni kama watu 130-150

The best way to destroy an enemy is to make him a friend.
 
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Hivi wapo kwenye kampeni tena?????
Ni kama t-shirts walizogawiwa mwaka jana zikisindikizwa na kilo za chumvi eti
 
Nimetoka sumbawanga jana. Nikiwa njiani kuelekea sumbawanga nilipata fursa ya kusimama mji mdogo wa Laela. Kwa bahati kulikuwa na gari za ccm, hard tops, zikihamasisha vijana kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa kujivua gamba. Hapakuwa na wafuasi licha ya nyimbo za marlaw kupigwa kwa sauti kubwa. Nilipododosa wale vijana walisema ni aibu kwa kijana kuwa mfuasi wa ccm.

Napata tabu kuamini kuwa wanaohudhuria mikutano ya ccm wanafanya hivyo kwa hiari au wanalazimishwa kwa kupewa pesa na usafiri wa kuwatoa maeneo wanayoishi. Propaganda zina kikomo chake, mafuta hujitenga na maji.
 

Mheshimiwa profesa,
naomba unipe hoja hata moja alotoa nape unayo dhani ni hoja na sio
taarabu kama tunavo jua!
Ipi hiyo isiyo na fitina au unafiki?
 
Hao ni waalimu walotishiwa wasiende shuleni waandamane,..
Plus
Polisi,yaani
kuwa mwana ccm ni utumwa wa kimawazo!
Kama umechoka kufikiria utaichagua ccm!
 
Hao watakuwa wamekusanywa all the way from Kasanga,NKASI etc
 
mbona hizo nguo zote ni za kijani na zote ni mpya kiasi cha kuonekana kuwa ndo zinavaliwa kwa mara ya kwanza? yaani ccm ndo inaendelea na mtindo wa kuhonga kanga na kofia?

halafu naona kama kuna walinzi pembeni wanadhibiti watu wasitoroke hayo maandamanonape kakasirika, mwigulu kidogo ndiye anayetabasamu japo kwa mashaka na mama aliyeshika bango na kaka wa kushoto kabisa na majority kama wamekasirika, naona baadhi wanapiga makofi tu bila kuimba chochote, yaani hali nzima ya maandamano hayo ni simanzi tupu kwa kweli!! kuna uwezekano baadhi yao wamelazimishwa au wanashiriki yasijewapata yaliyowapata wale wa makete majuzi

mmh, siasa inakuwa ngumu kwa ccm jamani, sijui watatoka vipi?
 
Shame ccm pamoja na kuwasafirisha waandamanaji lakini bado watu hawajafika hata 200
 
Nape una-vuvuzela kuvua gamba waka mapacha hawana hata barua! Rudi mjini ndugu siku 90 zinakatika, utapata fedheha.
 
Gamba limeshakakamalia kwenye ngozi halitaki kutoka mpaka labda mkubali litoke na ngozi. Muanze kwa kuuguza donda kwanza. hay mengine ni mazingaombwe tu.

Teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…