CCM yafunika Mpanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yafunika Mpanda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ACHEBE, Jun 3, 2011.

 1. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa uchumi na fedha Mwigulu Nchemba wameongoza maandamano leo kutoka ofisi ya CCM wilaya ya Mpanda kwenda kwenye Uwanja wa Shaulili ambapo wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya watu. Hakika wana Mpanda wameikubali sana CCM.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Chama tawala na maandamano ya nini huu ni wakati wa kushughulikia matatizo ya wananchi na kutekeleza ahadi badala ya kuandamana.
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nashukuru kua wanafuata falsafa ya nguvu ya umma
  people's power
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Hao watu hawazidi 200 pamoja na kupewa unifomu!
  Aibu tupu!
   
 5. k

  kakin Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo naona wengi ambao hawaelewi nini wanafanya vile vile wengi wamepewa T-shirts na kofia sijaona mtu alievaa tofauti
   
 6. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Wao hawa hatarishi amani ya nchni?!

  Nimependa sana hili bango la Nape, huu ni Ujumbe tosha kuwa CCM imekubali kuwa wanao mafisadi na hawata wafukuza kama walivyotaka kutudanganya!yaani mafisadi wanao na sehemu yao milele maana wao wanaamini wanaweza kuwepo chama chochote!

  Kazi kweni watanzania habari mmeipata
  [​IMG]
   
 7. Beso

  Beso JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tumependezeswa!!mbona raha.
   
 8. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  mbona ni kama wamelazimishwa?
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,935
  Likes Received: 12,172
  Trophy Points: 280
  Haya ni maandamano ya CCM si ya wananchi kama ya Chadema

  [​IMG]
   
 10. Abbasy

  Abbasy Senior Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duu wa ki mama wamevaa nguo za bure na elfu tano toka kwa mafisadi kazi ipo?
   
 11. s

  suley Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 12. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Kama kufunika ndio hivi basi wale chadema huwa wanalipua wala hawafuniki!!! watu 155 hawa ndio funika!!!
   
 13. A

  ADAMSON Senior Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mushukuru maroli ya sumry yaliyowakusanya toka vijijini vinginevo mngeambulia
  chekechea tu
   
 14. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Nadhani wana haki ya kufanya hivyo, ninazipongeza juhudi zinazoonyeshwa na CCM kwa ujumla, ingawa ninathubutu kusema gharama ya juhudu hizi ni kubwa mno kupita wanavyofikiri sasa. Pia itachukua muda kuweza kuweka mambo sawa na kurudisha imani, si kwamba haiwezekani, ila kwa tabia za hao wasio na maadili ambao bado ndio wafadhili wakuu, na ukizingatia CCM haina vyanzo vya kutosha vya mapato zaidi ya tabia mbaya iliyojengwa ya kuombaomba kutokana na ufisadi uliofanywa kwa mali za CCM (kipindi hicho).

  Kijana Nape bila kujali itikadi anaonyesha kuwa mwenye uwezo katika kujenga na kutoa hoja (tuache ushabiki) ila yuko isolated, maana akitoka yeye kwenye jukwaa anaefuata anaongea pumba so anadilute points na hoja zote alizokuwa anaziwekea mkazo Nape... kazi ipo sidhani kama moto huu utawafikisha popote

  Mpanda sishangai maana ndio nyumbani kwa WM.

  CHADEMA ongezeni nguvu, imarisheni vita vyenu kwa hoja kama mnavyofanya, ila wale wana CHADEMA ndani ya JF punguzeni siasa za matusi ili kuonyesha busara na upevu mlio nao maana hata kama una hoja ukitukana unaonekana uwezo wako wa kuwakilisha au kukazzia hoja ni mdogo unategemea zaidi jazba na ushabiki. Igeni mfano wa baadhi ya viongozi wenu
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hawafiki 200 hao, halafu ni aibu sana kwamba wapo wanaccm tupu na sare zao, sasa anakwenda kuwahutubia nini kipya? ccm inabidi ifanye mikutano ihudhuriwe na wananchi wote hapo ndipo unaweza kujuwa imani ya Watanzania ikoje, hao watu wanaonekana kabisa wote wamepewa fulana, kofia na kanga kwa mtaji huu ccm wanajidanganya wenyewe, angalia kwenye hiyo picha wananchi halisi ambao hawajanunuliwa wala hawana habari na hayo maandamano, hii ni aibu kubwa.

  Ninachojuwa mimi Nape anachofanya sasa hivi ni kubuni ziara nyingi kadiri inavyowezekana ili ambulie mapema miposho ya safari, maana mwakani kuna uchaguzi mkuu wa ccm anaweza asiwepo, sasa hataki kufanya makosa kama ya marehemu baba yake aliekufa bila hata kuwa na kibanda Dar es salaam hadi kupelekea msiba wake ufanyike nyumbani kwa Makamba. Nape sio mjinga kama mnavyoweza kufikiri.
   
 16. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mkuu huwa unatumia aina gani ya kilevi, au huwa unachanganya?


  nimejaribu kuikuza hii picha mwanzo wa watu ni nape na mwisho ni yale magari, ukweli ni kama watu 130-150
   
 17. p

  plawala JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa wamejitahidi,ingawa sio funika ni fumuka,nyuso za watu haziashirii kama wanafanya kazi wanayoipenda,ila kuweni na ubunifu maana mnaiga kila kitu toka kwa CHADEMA
   
 18. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha kuiga chadema CCM style ya kufanya mikutano kwa kuandamana kuunga mkono sera zao wameanza siku nyingi ila ninyi mliozaliwa juzi mnadhani hii ni ya CDM, lakini tumewasamehe mkikua mtaacha. kwani mawazo ya kitoto hudumu kipindi cha utoto ukiwa mtu mzima utafikiri kiutuuzima na hapo ndipo utakapo ijua real CDM. Wenzenu wanaoijua vizuri wamekaa kimya sasa na wanashindwa kutoka kuwaeleza ukweli watanzania kwa sababu walipokuwa hawaijui CDM waliisema vibaya CCM sasa hawawezi kuisema vibaya CDM ambayo walidhani ndiyo haina mapungufu kabisa.
   
 19. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Haya magamba yanawatesa sana mama zetu. Sijui tutumie nini ili watuelewe maana wao na kanga tu basi wanayafuata magamba. Nadhani kuna haja ya viongozi wanawake wa CDM kulifanyia kazi jambo hili. Inabidi waende vijijini wakawaelimishe mama zetu maana bado hawajajua kuwa watu walishaachana na ccm muda mrefu lakini wao hawajui kama CCM ilishakufa.


  Jamani Wanawake wa CDM mnamkakati gani na hawa mama zetu huko vijijini? Hatunashida na vijana wanafanya vizuri na ndo tunawaona wakiwa mstari wa mbele kwenye maandamano kila mahali yanapofanyika.

  Kuna haja ya CDM kukaa chini na kulifikiria hili maana tukumbuke hawa tusipofanya hivyo tunaweza kujikuta 2015 na hawa wa mama bado wako magambani na wananawake ni wapiga kura wazuri sana na hata magamba yanajua na ndiyo mtaji wao mkubwa.
   
 20. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Dead people walking!
   
Loading...