Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,551
Huo ndo ukweli na hapo ndipo ccm ilipo,ningeshangaa sana kama idadi ya watu ingevuka200 mbali ya kusafirishwa na kupewa ubwabwa!
mbona wameshindwa kuchakachua aka kaumati ili walau waoneka umati wa watu 2000.?ama wanachakachua kura tu?.....kizima ufa na kupotea,kifo cha ccm hakizuiliki tena hata kama itapelekwa loliondo,nenda,ccm nenda nenda!