CCM yadaiwa kuanzisha Forum yake; Nape akanusha

Umepiga mwaski au umekatiwa Maji na umeme? Kama huna la kukomenti ni bora ufunge bakuli lako

du kumbuka unemwambia anaitwa Mwita, hatutakusaidia maana umeonyesha umedekezwa na maandamano ya kila kukicha
 
Magwanda ni waoga sana, mnaogopa nini? kwani uongo? kuna magazeti, hayo aliyoyataja mtoa mada, hayana kabisa chema chochote yanachoandika ama cha serikali ama cha CCM.

Na Nape ndio mtajuwa ni nani mwaka huu, jamaa kawakata makali kwa muda mfupi sana. Na leo tunaona baada ya kurudi safari yake ya Moshi na Arusha ofisi za magwanda wanazifunga wenyewe huko. Afanaalek, kufa hakuna brek!
vipi dada....naona sasa hivi unatoa hewa tu ya futari! umefuturishwa na nini leo maana naona mambo yamekuwa kama ya yule mnyama 'fungo'..ni kuchafua hali ya hewa tu..!
Simply put.. CCM wanachotakiwa kufanya ni kutatua kero za watanzania..ugumu wa maisha, mgao wa giza/umeme,, ajira kwa vijana,, punguza/kamata mafisadi,,, vunja mikataba mibovu /weka mikataba yenye kunafufaisha wananchi.. and the list goes on..! bila kufanya hivyo hata mkifungua utitiri wa ofisi za chama au mkashirikiana na vyombo vya habari marafiki zenu haitasaidia kitu! Nape awavue magamba wenzake wenye kukichafua chama siyo kuleta upumbavu mpya wa ushirikiano na vyombo vya habari!
 
Nape anabisha nini wakati mablogger wanasema walikutana naye na picha zipo, aache usanii wake.
 
ccm washakufa msiwe na wasiwasi wanatapata tuuu km mfamaji. haata waanzishe sijui nini tutaingia huko huko na kuwaponda

Mkuu nakubaliana nawe kwa hili jibu .CCM kwisha kazi na hawana jipya slow death hawa.
 
Nape anabisha nini wakati
nape-4.jpg


Kundi la askari kanzu wa Nape .... ...

Mbona wako wengi tu, wengine tunashinda nao humu kila siku hata wa kukodisha kutoka kwa banyamulenge wapo Magogoni na hapa hamuwaoni?
 
Sijui kuna tatizo gani? kuna mtu somewhere ambaye hajui lolote lakini anadhani anajuwa hivyo anajaribu kuwapotosha CCM, maana kwanini CCM wasi pambane humu humu JF hadi washinde na kutawala hoja?

Big chaps wa CCM wote kuanzia Nape, Rwehemamu et al., ni Members humu wanashindwa nini kujenga hoja hapa na kushawishi Umma kuanzia humu. Mimi si amini kuwa CCM kweli ni waoga kiasi hicho hadi kukimbia hapa JF kirahisi hivyo, maana kama wanauwezo na aiba ya uwoga basi nadhani hata wasinge simamisha mgombea Urais uchaguzi uliopita na pia labda hadi sasa wangekuwa wameiomba CDM waunde serikali pamoja, na wala wasinge kuwa na tabia ya kurudia makosa yao yale yale kila siku.

Mtu anayewadanga CCM kurudi nyuma na kujianzishia Bloggs ambazo zitakuwa na wana CCM peke wawili au watatu ambao kazi yao ni kuisifia na kuipamba maua CCM ni adui wa CCM namba moja, maana anaichimbia kaburi na pia huyo ananyedanganywa na kukubali naye ni kiongozi kipofu. Dawa na mwarobaini wa matatizo ya CCM ipo hapa JF ni kiasi cha CCM kuteuwa mtu ambaye anaweza kusoma presciption za dawa humu JF na kunywesha wagonjwa basi! Hakuna haja ya kwenda kwa waganga wa kienyeji.

Kama CCM imengejiwekea Utaratibu wa kutekeleza mambo yaliyokuwa huku JF kuanzia miaka ya 2005 hadi 2010 sasa hivi tungekuwa na CCM ambayo ni imara na inayo aminika kwa Umma wa watanzania kwa zaidi ya 100%.

Acha waanzishe ila wajuwe wamepewa ushauri mbaya na mbovu ambao utaumaliza CCM haraka kuliko hali ilivyokuwa hivi sasa, maana heri anaye kwambia kisiki kilipo husije ukajikwaa kuliko ananyekuacha ujikwae akisubiri kukupa pole na kukusifia kuwa unavidole na mguu imara maana umejikwaa kwenye kisiki kikubwa sana lakini hujalia.
 
Mimi ndiye Mkuu wa Idara ya ccm ya itikadi na uenezi, kwanza nimesikitishwa sana na uzushi huu wa kunihusisha mimi binafsi na idara yangu na mpango huu haramu. Nataka kuthibitisha hapa hautokani na idara yangu ya itikadi na uenezi na wala mimi mwenyewe binafsi kama Nape siufahamu.

Hakuna kikao nimewahi kukaa na hao wanaotajwa kuwa marafiki wa CCM.

Sijawahi kuwa na kikao nao wala mpango na siwajui, sasa uongo mwingine hapa mara wamefanya kikao na nape mara wamepanga kikao ni upuzushi ambao unastahili kupuuzwa. ....naamini lengo la mchezo huu ni kukigombanisha chama na baadhi ya vyombo vya habari na kunigombanisha binafsi mimi na baadhi ya vyombo vya habari..... Kumbukeni ni mimi ndo nimekua nikifanya ziara kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, then eti niandae mkakati wa kuvitenga baadhi.

Nimesikitishwa na hili.
_MG_2571.jpg

116.jpg

nape-4.jpg


Nape ni bora ukafahamu kuwa ugomvi na chuki juu ya CCM haisabishwi na CDM wala chama chocho cha kisiasa.

Kama mtaelekeza nguvu zenu katika kutatua matatizo ya Mtanzania kwa dhati na kusimamia Mali ya Mtanzania kwa dhati hasa kwa kushughulia ubadhilifu wa fedha za Tanzania na kuhakikisha kuwa Utumishi wa Umma unakuwa Utumishi kwa ajili ya kumtumikia Mtanzania hapo ndipo mtakuwa mnajenga chama, hapa bado mnakibomoa tena mnaongeza kasi zaidi ya kuibomoa na kuiuwa.

CCM ina guidelines nyingi sana walizoachiwa na Nyerere ambazo mkicheza ndani ya hizo guidelines badala ya kubaki kumwimba Nyerere kama vichaa wakati mnampinga kwa kila aina ya vitendo vyenu msitegemee kusimama tena, sijui ni nani aliye waroga maana mna masikio lakini hamsikii na mna macho lakini hamuoni. Futulieni kwa makini mtagundua kuwa sifa kubwa ya CDM na kukubalika kwake kumetokana na kujenga misingi yake juu ya maadili ya Mwl. Nyerere na sasa Watanzania wanaona kwa macho yao kuwa kama bado wanampenda Nyerere basi chama chao ni Chadema, kama hamta kaa chini na kutatua matatizo kuanzia kwenye mizizi yake mkabaki kununua na kuficha ukweli kama kipindi cha chama kimoja, juwa kuwa CCM itakufa mikono mwako.

Mkapa aliliona hili na aliwai kusema kuwa atajitahidi sana CCM hisimfie yeye mikono mwake, naona hilo limemshinda Kikwete pamoja na nyie washauri wake wa karibu
 
Hivi KIKAO na BLOGGERS KINA UHUSIANO GANI NA HICHO KILICHOSEMWA NA MANYERERE?

Uchanganyaji WA HABARI KIASI hichi ndo hutufanya wengine tupite hapa bila KUSEMA. MAANA KAMA INAKUWA VIGUMU KUJADILI HOJA BILA KUICHAKACHUA KUNAKUWA HAKUNA MAANA YA KUPOTEZA MUDA MAANA WAKATI MWINGINE BADALA YA KUTAKA KUJUA MTU ANATAKA KUPOTEZA MDA WAKO TU.....

ANAYESEMA SIJAWAHI KUKIRI POPOTE KUKOSEA NADHANI HANA KUMBUKUMBU YA KUTOSHA JUU YA HISTORIA YANGU YA SIASA....KWANGU KISU HUKIITA KISU SI UMMA, NA UMMA KWANGU NI UMMA SI KOLEO
 
Nape said:
Uchanganyaji WA HABARI KIASI hichi ndo hutufanya wengine tupite hapa bila KUSEMA. MAANA KAMA INAKUWA VIGUMU KUJADILI HOJA BILA KUICHAKACHUA KUNAKUWA HAKUNA MAANA YA KUPOTEZA MUDA MAANA WAKATI MWINGINE BADALA YA KUTAKA KUJUA MTU ANATAKA KUPOTEZA MDA WAKO TU.....

Nape,

..kubali tu kwamba hapa JF huwezi kudanganya kama mnavyofanya mkifika vijijini.

..mnachofanya sasa hivi ni kucheza na maneno tu lakini mnajua kabisa kwamba chama chenu kimeshindwa kuongoza.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
2mekichoka chama hch pga ua kitakufa 2 hata kama c kesho ila noo,u cnt torture felow human being kihivi na ukategemea awe mjinga 4 eva,ccm wil slowly die,na ha2danganyiki hata kwa fedha,mana c kila jambo huwezekana kwa fedha.ukimpa m2 ujuzi na elimu bs n ukomboz tosha,na fedha hapa n kikwazo mana nafahamu b4 u start lobbying
 
Kufa MBONA SI TATIZO, ANAKUFA BINADAMU SEMBUSE TAASISI? Swala hapa SI kufa swala hapa kufa kwake ndo suluhisho la matatizo tuliyo nayo? mgao WA umeme Kenya umeletwa na CCM? MPAKA walifikia MAHALI wanafunga uwanja WA ndege ndege haziruki kiss mgao WA umeme, huko CCM IKO?

Ugumu WA maisha ZIMBABWE CHANZO BILA SHAKA CCM! vurugu zinazoendlea MALAWI, AFRIKA KASKAZINI NAKO CCM NDO INAYOSABABISHA...... KUJUA CHANZO CHA TATIZO NI MWANZO WA UFUMBUZI WA TATIZO... NIELEZENI KUFA KWA CCM KAMA TAASISI KUTAMALIZAJE MATATIZO YA TANZANIA? Kwa HOJA pls SI MATUSI na kejeli Kama Huna HOJA tuachie wengine tujadili
 
Joka KUU ,

Wewe HUMU ndani upo mda mrefu sema WAPI NIMEWAHI HATA KUJARIBU kudanganya HUMU ndani????

"NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO".........

WAPI huko vijijini ninapodanganya uongo unaodai siwezi kudanganya hapa???? KAMA NI MBOVU NIKAAMINI MBOVU NTAISEMA KAMA ILIVYO NA NIMEJENGA RECORD HIYO HATA NDANI YA CHAMA CHANGU WENGI WAKIAMUA KUWA WA KWELI WATAKIRI HILI.....

SIJAWAHI KUOGOPA MTU, CHEO WALA JINA.... SI TABIA YANGU
 
Swala LA MATUMIZI YA PESA, HIVI TUWE WA KWELI UTAHONGA WANGAPI? CHAMA CHENYE WANACHAMA KARIBU MILIONI TANO KUPATIKANA WANACHAMA WACHECH HAWAJAI HATA MKONONI WANAOAMINI KATIKA KUTUMIA PESA KUSHINDA Uchaguzi inageuka KUWA NI Chama kizima????

HIVI LEO KUMEKUWA NA KELELE KWA MUDA TU KUWA MBEYA KUNA WACHUNA NGOZI, NDO TUSEME MBEYA YOTE, WANYAKYUSA, WASAFWA WALE NK WOTE WACHUNA NGOZI???? NADHANI tukitaka KUWA WA KWELI DHAMBI ZA individual na matendo Yao TUSIIBEBESHE TAASISI HATA KAMA NI KWELI KUWA MATENDO YAO YANAATHIRI UTENDAJI WA TAASISI NA NDO MAANA TUNAPAMBANA KUWATIMUA ILI TAASISI ISIMAME KAMA TAASISI.....

MWL ALIWAHI WAKATI FLANI KUSHANGAA....." kuna WATU HUMU CCM nikiwaangalia nashangaa kabisa inawezekanaje MIMI na wao tukawa Chama KIMOJA?" So NI swala la individuals, taasisi ikishindwa kabisa kukijenga NAO hapo SASA LINAKUWA TATIZO KUBWA...
 
Nape,

..CCM inapaswa ife kwasababu imeshindwa kuwapatia wa-Tanzania viongozi wenye uwezo wa kusimamia harakati za kuleta maendeleo.

..CCM imekuwepo madarakani tangu mwaka 1977, sasa kwanini unafikiri kuwa kwetu nyuma kimaendeleo hakupaswi kuhusishwa na CCM kwa namna yoyote ile?
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Joka Kuu,

Sijasema kusihusishwe na CCM kabisa, hakuna namna kutohusisha na vyama na viongozi walioongoza nchi toka kupata uhuru, swali langu hapa je wao ndio sababu pekee kiasi cha kutaka kuamini kuwa kuondoka kwao au kufa kwa CCM ndo muarubaini wa matatizo ya Tanzania?

Na ndo maana nikatoa mifano ya matatizo ya nchi zingine ukilinganisha na Tanzania.... Nadhani tukitaka kushughulikia tatizo tutafute chanzo chake kwa ukweli bila kujifariji...tutapona... Hapa si ushabiki wa chama wala itikadi kwani kwangu mimi nchi kwanza vyama baadae
 
Nape said:
Joka KUU ,
Wewe HUMU ndani upo mda mrefu sema WAPI NIMEWAHI HATA KUJARIBU kudanganya HUMU ndani???? "NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO"......... WAPI huko vijijini ninapodanganya uongo unaodai siwezi kudanganya hapa???? KAMA NI MBOVU NIKAAMINI MBOVU NTAISEMA KAMA ILIVYO NA NIMEJENGA RECORD HIYO HATA NDANI YA CHAMA CHANGU WENGI WAKIAMUA KUWA WA KWELI WATAKIRI HILI..... SIJAWAHI KUOGOPA MTU,CHEO WALA JINA.... SI TABIA YANGU

Nape,

..UONGO unaoshiriki ni hizi kampeni za kujivua magamba.

..hivi hufahamu kwamba RUSHWA ndani ya chama chako imeshamiri kutokana na harakati za JK kutafuta Uraisi?

..unaweza vipi kupita kila mahali ukipiga kampeni Rostam na Lowassa wafukuzwe huku ukimuacha mshirika wao mkuu JK?

..Mwenyekiti wako na wabunge kibao wameingia madarakani kwa rushwa na majungu, na wewe kudai wanaoichafua CCM ni watu wachache huo ni uongo mkubwa.

..hata hizi kampeni zako dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani zimejaa ujanja-ujanja tu lakini hamuwaelezi wananchi ukweli.

..si ni wewe uliyesema huwezi kujiunga na CDM kwasababu ni chama cha Wachagga? sasa Wachagga walioko CCM unataka wahame?
 
being keen huwezi kujitofautisha utanzania na cheo chako cha uenezi wa siasa ... ushauri niliyokupa ni wa busara .... concentrate on the doctrine of politics within your party ..... i have being calling you a parrot because you like to sing others songs

sijaona hoja yeyote unayoleta hapa zaidi ya kuuliza maswali ndani ya maswali unayoulizwa

hivi nape unaweza ukanitajia turn over ya vitega uchumi vya ccm kwa mwaka ?

na pia unaweza ukaniambia kama vitega uchumi na economic projects za ccm worth return on investment?

naomba majibu sasa hivi
 
Back
Top Bottom