Nape,

..UONGO unaoshiriki ni hizi kampeni za kujivua magamba.

..hivi hufahamu kwamba RUSHWA ndani ya chama chako imeshamiri kutokana na harakati za JK kutafuta Uraisi?

..unaweza vipi kupita kila mahali ukipiga kampeni Rostam na Lowassa wafukuzwe huku ukimuacha mshirika wao mkuu JK?

HEBU KUWA MKWELI KWA USHAHIDI, WAPI NIMESEMA TATIZO NI WATU WATATU TU NDANI YA CHAMA? kote nilikopita na nilikosema NIMESEMA wazi bila kumumunya maneno KUWA TATIZO NI WATU kuamua kujilimbikizia mali, na KUTUMIA Mali au utajiri wao kuyumbisha misingi ya Chama chetu... Nani anayebisha KUWA misingi iliyojengwa na Mwl kwa CCM inazuia MATUMIZI ya pesa Kama kigezo Cha kutafutia viongozi?
HILI LA UKABILA LIMEKUZWA, MIMI SI MUUMINI WA UDINI WALA UKABILA, BABA NA MAMA YANGU NI MAKABILA TOFAUTI NA DINI TOFAUTI, SO MIE SIO MUUMINI WA HILI...
UJANJA NILIOUTUMIA KUWASEMA VIONGOZI WA UPINZANI NI UPI? MARA NGAPI NIMETOKA HADHARANI KUKIRI KUWA UIMARA WA UPINZANI NI SALAMA YA CCM? IPO HOJA NILIYOMSINGIZIA KIONGOZI HUYO WA UPINZANI KAMA WAO WALIVYOFANYA BADALA YA KUJIBU HOJA WAKAENDA KUTAFUTA UONGO NA KUTAKA WATANZANIA WAAMINI JUU YA NAPE? MARA IEPA, MISHAHARA MIWILI, UDC, CCJ NK.....

..Mwenyekiti wako na wabunge kibao wameingia madarakani kwa rushwa na majungu, na wewe kudai wanaoichafua CCM ni watu wachache huo ni uongo mkubwa.

..hata hizi kampeni zako dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani zimejaa ujanja-ujanja tu lakini hamuwaelezi wananchi ukweli.

..si ni wewe uliyesema huwezi kujiunga na CDM kwasababu ni chama cha Wachagga? sasa Wachagga walioko CCM unataka wahame?