CCM yadaiwa kuanzisha Forum yake; Nape akanusha

Kwa hoja hawataweza kuimaliza jamii forums...labda wajaribu cyber attack....! lakini hata wakijaribu cyber attack itakula kwao ...maana ma hackers tupo fit hapa!
<br />
<br />
Kwahiyo mmeshahalalisha kuwa JF ni forum ya CHADEMA? Mambo ya ajabu sana haya.
 
Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, CCM msaada wako utatoka wapi ? Nape kashindwa kabla ya wakati. Poleni sana wana ccm.
 
<br />
<br />
Kwahiyo mmeshahalalisha kuwa JF ni forum ya CHADEMA? Mambo ya ajabu sana haya.
vipi mura! acha uzushi ..wapi nimesema JF ni ya chadema! Kupingwa sana kwa CCM ndani ya JF ina reflect mood ya watanzania wengi especially vijana. Kama CCM wataanzisha forum ambayo iko fair kama JF matokeo yake itakuwa ni kama ya hapahapa....! Vijana watanzania wamechoka,,,wamabaki wazee na vijana wachache mnaonufaika na ufisadi kuitetea CCM.
 
Mimi ndiye Mkuu wa Idara ya ccm ya itikadi na uenezi, kwanza nimesikitishwa sana na uzushi huu wa kunihusisha mimi binafsi na idara yangu na mpango huu haramu. Nataka kuthibitisha hapa hautokani na idara yangu ya itikadi na uenezi na wala mimi mwenyewe binafsi kama Nape siufahamu.

Hakuna kikao nimewahi kukaa na hao wanaotajwa kuwa marafiki wa CCM.

Sijawahi kuwa na kikao nao wala mpango na siwajui, sasa uongo mwingine hapa mara wamefanya kikao na nape mara wamepanga kikao ni upuzushi ambao unastahili kupuuzwa. ....naamini lengo la mchezo huu ni kukigombanisha chama na baadhi ya vyombo vya habari na kunigombanisha binafsi mimi na baadhi ya vyombo vya habari..... Kumbukeni ni mimi ndo nimekua nikifanya ziara kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, then eti niandae mkakati wa kuvitenga baadhi.

Nimesikitishwa na hili.
 
kwako mh.Nape. wewe ni mkristo,nadhani una hofu ya Mungu aliyehai. NAKUSIHI,soma Biblia Takatifu MITHALI 24:24-25
 
Mwisho wa siku watu hawatalazimishwa kujua ukweli, daima ukweli utasimama wenyewe bila kubebwa na vyombo vya habari.
Mgao wa umeme, gharama juu za vyakula , uhaba wa maji, kero ya usafiri, msongamano wa magari na miundombinu mibovu jaihitaji waandishi wala bloggers hata ukiandika kitu gani ukweli utasimama na Raia wamechoka na ikifika wakati wata agana nao hao CCM
 
Mimi ndiye Mkuu wa Idara ya ccm ya itikadi na uenezi, kwanza nimesikitishwa sana na uzushi huu wa kunihusisha mimi binafsi na idara yangu na mpango huu haramu. Nataka kuthibitisha hapa hautokani na idara yangu ya itikadi na uenezi na wala mimi mwenyewe binafsi kama Nape siufahamu.

Hakuna kikao nimewahi kukaa na hao wanaotajwa kuwa marafiki wa CCM.

Sijawahi kuwa na kikao nao wala mpango na siwajui, sasa uongo mwingine hapa mara wamefanya kikao na nape mara wamepanga kikao ni upuzushi ambao unastahili kupuuzwa. ....naamini lengo la mchezo huu ni kukigombanisha chama na baadhi ya vyombo vya habari na kunigombanisha binafsi mimi na baadhi ya vyombo vya habari..... Kumbukeni ni mimi ndo nimekua nikifanya ziara kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, then eti niandae mkakati wa kuvitenga baadhi.

Nimesikitishwa na hili.
Safi sana! Umenifurahisha jinsi ulivyojitokeza mapema na ku clarify hii issue! Ukiu-clarify na wimbo wa magamba tutakuwa na amani zaidi maana beti hatuzielewi vizuri!
 
waache waanzishe c watukua wanachat na wakina mwigulu, anna abdala, komba, majji marefu na wengine vilaza wenzao.
 
Sasa wewe umeleta hii topic ijadiliwe na tayari umeshaonyesha prejudice. You ostensibly seems to be skeptical about the forum to be launched, but in reality you have personal grudges against the lady. I am afraid this is not the right platform for slandering other's personalities.

It is obvious that any person starting a thread here will have own prejudices which motivate them to bring the story here. It is your task to minimize or eliminate them by bringing counter arguments and facts. If you think you don't have one you better shut the heck up and stay on the sidelines. bringing the post above is an indication of having pre conceived preferences yourself.
 
Wacha waanzishe...ni haki yao,tutakutana huko huko !

My sentiments exactly.

Mbona hata viwanja kuna Huffingtonpost inajulikana kuwa left na redstate inajulikana kuwa right, New York Times left, Wall St. Journal right?

Mbona CCM tayari wana gazeti la chama, hii blog itakuwa na tofauti gani?

Kama kuna mengine tutayajadili huko huko "kwetu".

If at all the story is credible, that is.
 
Mimi ndiye Mkuu wa Idara ya ccm ya itikadi na uenezi, kwanza nimesikitishwa sana na uzushi huu wa kunihusisha mimi binafsi na idara yangu na mpango huu haramu. Nataka kuthibitisha hapa hautokani na idara yangu ya itikadi na uenezi na wala mimi mwenyewe binafsi kama Nape siufahamu.

Hakuna kikao nimewahi kukaa na hao wanaotajwa kuwa marafiki wa CCM.

Sijawahi kuwa na kikao nao wala mpango na siwajui, sasa uongo mwingine hapa mara wamefanya kikao na nape mara wamepanga kikao ni upuzushi ambao unastahili kupuuzwa. ....naamini lengo la mchezo huu ni kukigombanisha chama na baadhi ya vyombo vya habari na kunigombanisha binafsi mimi na baadhi ya vyombo vya habari..... Kumbukeni ni mimi ndo nimekua nikifanya ziara kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, then eti niandae mkakati wa kuvitenga baadhi.

Nimesikitishwa na hili.
Nape,
Kama siyo kweli, as you said, basi ni vizuri. Kwa hali tuliyonayo sasa hivi kufanya kitu kama hiyo inge-back fire vibaya sana na kukipaka matope chama chenu. Mnapaswa kuwa makini sana na mikakati mnayofanya ili kukinusuru na kukisafisha chama chenu. Mambo km ya kuwagwa wananchi ktk makundi fulani fulani yatawadidimiza zaidi.
 
ziara utafanya lakini chama chako kitakutenga wewe!!! Rostam na Edo walikuwa na nguvu nyingi kwa kukichangia na kukijenga lakini sasa wanatengwa na kuonekana magamba!! subiri zamu yako inakuja lakini nahisi wewe utakolombwa tu na chama cha magamba ili usiwapigie kelele. utatengwa wewe siku si nyingi
 
Mimi ndiye Mkuu wa Idara ya ccm ya itikadi na uenezi, kwanza nimesikitishwa sana na uzushi huu wa kunihusisha mimi binafsi na idara yangu na mpango huu haramu. Nataka kuthibitisha hapa hautokani na idara yangu ya itikadi na uenezi na wala mimi mwenyewe binafsi kama Nape siufahamu.

Hakuna kikao nimewahi kukaa na hao wanaotajwa kuwa marafiki wa CCM.

Sijawahi kuwa na kikao nao wala mpango na siwajui, sasa uongo mwingine hapa mara wamefanya kikao na Nape mara wamepanga kikao ni upuzushi ambao unastahili kupuuzwa. ....naamini lengo la mchezo huu ni kukigombanisha chama na baadhi ya vyombo vya habari na kunigombanisha binafsi mimi na baadhi ya vyombo vya habari..... Kumbukeni ni mimi ndo nimekua nikifanya ziara kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, then eti niandae mkakati wa kuvitenga baadhi.

Nimesikitishwa na hili.
Huwa najiuliza kijana mwenye potential kama wewe kwanini umeamua kuchagua kukaa upande wa waovu kupinga uovu! Utawaweza kweli? Naona kama mwisho wako hautakuwa mzuri! Mungu apishie mbali!
 
Gazeti rafiki kwa GAMBA hakika litazikwa kwa pamoja na hicho hicho chama kipenzi chake; wananchi tuko makini sana katika hili na tubaini gazeti kama hilo basi wamiliki wasahau kabisa ununuaji wake.
 
Kwa hoja hawataweza kuimaliza jamii forums...labda wajaribu cyber attack....! lakini hata wakijaribu cyber attack itakula kwao ...maana ma hackers tupo fit hapa!
Safi sana mkuu nimeipenda hiyo.
 
Wana Jf

Nimesoma habari ambayo imenistua na imenibidi niongee na Mhariri wa Gazeti la Mtanzani Ndg Jacton Manyerere na amenithibitishia kuwa habari aliyoandika ni ya uhakika.

Idara ya Uenezi na Itikadi ya CCM ambayo ipo Chini ya Ndg Nape imeanzisha Mtandao wa Vyombo vya Habari na wana Habari Rafiki na Bloggers na amekuwa akikutana nao Mara kwa Mara.

Kutokana Taarifa za Gazeti la Mtanzania (Media House ambao si Rafiki na CCM kwa Sasa), media ambazo hazitahudhuria ktk mkutano wa Tar 13 na 14 mwezi huu utakaofanyika Morogoro ni Mwananchi Communication, New Habari, Hali Halisi na Free Media. Vyombo hivi si Rafiki wa CCM.

Na Bwana Jacton ansema doc ya FCCM inaonyesha uwepo wa Mpango Mkakati wa Kuanzisha FORUM itakayoitwa KWETUFORUM na pia utaanzishwa mpango halisi wa kuimaliza Jamii Forums.

Pamoja na mpango huu awali walikua wakutane Dodoma wakati wa kamati kuu na mnamo mwezi wa Tano Nape alifanya kikao makao makuu ya CCM na akakutana Bloggers na kuwaahidi kuwasaidia lakini waisaidie CCM ktk Mkutano huo alikuwepo Blogger mmoja wa Jinsia ya Kike anaeitwa Shamim kutokana na mahudhurio ya kikao hicho.

Kilichonishangaza ni baada ya kusoma Agenda za Mkutano ktk Gazeti la Mtanzania leo nimeshangaa katibu wa mpango huu ni dada ambaye sisi hapa Nipashe alikuwa haheshimiki na alisimamishwa kazi.

Binafsi hii ninailaani kwakua inaleta Taswira Mbaya na ninatarajia kuona Editors Forum wanalifanyia kazi kama CCM inatugawa wana Habari ktk Makundi ya Rafiki na Adui ni jambo baya kufanywa na chama kikongwe kama Hiki. Nadhani huyu dogo Nape amechanganyikiwa kabisa.

Nimeona niilete hapa Jamvini Tulijadili.

Story ipo ukurasa wa kwanza ktk Gazeti la Mtanzania na inaendelea ukurusa wa nane.
Mimi sioni unacholalamikia nini haswa.
Members wengi humu JF wanalifananisha madia za CCM na uozo na wengine wanaenda mbali zaidi na kuapa kutoyasoma.
Sasa pili pili ya shamba inakuwashia nini?
 
Mimi ndiye Mkuu wa Idara ya ccm ya itikadi na uenezi, kwanza nimesikitishwa sana na uzushi huu wa kunihusisha mimi binafsi na idara yangu na mpango huu haramu. Nataka kuthibitisha hapa hautokani na idara yangu ya itikadi na uenezi na wala mimi mwenyewe binafsi kama Nape siufahamu.

Hakuna kikao nimewahi kukaa na hao wanaotajwa kuwa marafiki wa CCM.

Sijawahi kuwa na kikao nao wala mpango na siwajui, sasa uongo mwingine hapa mara wamefanya kikao na nape mara wamepanga kikao ni upuzushi ambao unastahili kupuuzwa. ....naamini lengo la mchezo huu ni kukigombanisha chama na baadhi ya vyombo vya habari na kunigombanisha binafsi mimi na baadhi ya vyombo vya habari..... Kumbukeni ni mimi ndo nimekua nikifanya ziara kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, then eti niandae mkakati wa kuvitenga baadhi.

Nimesikitishwa na hili.
Niambie ni lini ulikubali chochote kile kilichosemwa kuhusu wewe hata kama
umeonekana umejikwaa na umetoa kucha ukakubali
Siasa bana,uongo kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom