Ccm yabwagwa chini na cdm-sengerema.

Ccm yabwagwa chini na cdm-sengerema.

Ushindi wenyewe wa kijiji kimoja je ingekuwa kata mbona tusingelala. Kipenga kimepigwa Armeru hebu tusubiri matokeo.

ushindi wa kitaifa unaanzia kijijini, hiyo ni ishara tosha,tuombe uzima!
 
Ushindi wenyewe wa kijiji kimoja je ingekuwa kata mbona tusingelala. Kipenga kimepigwa Armeru hebu tusubiri matokeo.

Watanzania wakusamehe bure maana hujui ulitendalo
 
Masikini chama changu CCM, hata vijijini wanaanza kutukataaa?
Na hizi sumu tunazo walisha ndugu zetu ili tupate uraisi ndizo zinatuponza zaidi!
 
Ushindi wenyewe wa kijiji kimoja je ingekuwa kata mbona tusingelala. Kipenga kimepigwa Armeru hebu tusubiri matokeo.

masaburi kichwani, kijiji ni mwanzo wa kata na wilaya. kuwa na akili timamu wewe!
 
Nilishasema safari hii Sengerema haitarudi mikononi mwa wakoloni wapya(CCM).Hongera CDM!!
 
"Mr Meagawatt" nimepenmda sana hii!!! by the way ushindi wankijiji ni ushindi tu ukizingatia hata mmbuyu ulianza kama mchicha!!!
 
Back
Top Bottom