Ccm yabwagwa chini na cdm-sengerema.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo Wakuu! Ile kauli kuwa mjinga akijitambua mwelevu upo matatani imedhihirika leo baada ya cdm kuibwaga chini ccm kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa serikali kijiji cha Busulwangilwa kata ya Tabaluka,wilayani Sengerema jirani kwao na Ngereja a.k.a Mr Megawat na mbunge wa zamani ndgu Shija. Kwa murejesho huu ni wazi kuwa siku za ccm kuwahadaa watanzania zina hesabika .Uchaguzi ulihusisha vyama vya ccm na cdm. Ndgu zangu wanaharakati hii ni hatua kuelekea ukombozi wa pili wa Tanzania tuitakayo coz hapa ni kijijini ndani kabisa but wananchi wameamua na kusema enough is enough. Je mtaji wa ccm vijijini bado upo? Haya ni manyunyu masika yanakuja. MUNGU BARIKI MABADILIKO,MUNGU IBARIKI TANZANIA. Naomba kuwasilisha. Source: Mimi mwenyewe nilikuwepo.
 
"UKIONA UNASIFIWA NA SHETANI UJUE UNA MATATIZO MAKUBWA, NA AKIKUPONDA UJUE UKO SAHIHI KABISA"

Haya ndio matokeo ya operasheni, maandamano n.k, vitu ambavyo Magamba wanavipinga kila siku. Dawa ni elimu kila kona ya nchi hii, WE SHALL OVERCOME.
 
Hivi huko si ndipo niliskia viongozi wa Wilaya wa CDM wamehamia CCM au? Yani pamoja na kufanya biashara hiyo ya utumwa (Kununua viongozi) bado wameshindwa? Poleni wagamba!
 
Ushindi wenyewe wa kijiji kimoja je ingekuwa kata mbona tusingelala. Kipenga kimepigwa Armeru hebu tusubiri matokeo.
 
Asante kwa taarifa, hongereni wanaSengerema kwa kutambua safari iliyo mbele yetu
 
Back
Top Bottom