Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Waliokuwa wagombea wa CCM wa mitaa mbalimbali jijini Mbeya, wameanza kujiengua na Kujiunga na CHADEMA.
Katika mtaa wa Bombambili kata ya Mwakibete, Aliyekuwa mgombea wa CCM Roderic MWANG'ONDA na timu yake Joph Kayoyo , Tuli Kibona, nk wanatazamiwa kurudisha kadi za CCM hivi karibuni katika mkutano wa CHADEMA, unaoandaliwa kwa ajiri ya kuwashukuru wapiga kura, mmoja wa wagombea hao Tuli Kibona amenukuliwa akisema "tunafanya kazi kubwa kuwashawishi wananchi kubaki CCM, lakini wenzetu wakubwa wanajichotea mamilioni kiulaini tu.
Amesema bora aungane na timu ya ukombozi kuiondoa CCM madarakani. Kata nyingine zinazotarajia kupokea wagombea kwa wingi ni Ruanda, Ilomba, Forrest, Manga, Ilemi , nk