SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
Waliokuwa wagombea wa ccm wa mitaa mbalimbali jijini mbeya, wameanza kujiengua na Kujiunga na CHADEMA. katika mtaa wa bombambili kata ya mwakibete, Aliyekuwa mgombea wa Ccm Roderic MWANG'ONDA na timu yake joph kayoyo , tuli kibona, nk wanatazamiwa kurudisha kadi za ccm hivi karibuni katika mkutano wa cdm, unao andaliwa kwaajiri ya kuwashukuru wapiga kura, mmoja wa wagombea hao tuli kibona amenukuliwa akisema "tunafanya kazi kubwa kuwashawishi wananchi kubaki ccm, lakini wenzetu wakubwa wanajichotea mamilioni kiulaini tu. amesema bora aungane na timu ya ukombozi kuiondoa ccm madarakani. Kata nyingine zinazotarajia kupokea wagombea kwa wingi ni Ruanda, ilomba, Forrest, manga, ilemi , nk
Mbeya jiji ina mitaa 181 ccm ilipita bila kupingwamitaa 28 baada ya uchaguzi ccm ilishinda mtaa 109 chadema mitaa 64 nccr mitaa2 mitaa 3 uchaguzi umeahirishwa