Amiliki
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,085
- 1,005
Wanabodi,
Kuna ndugu yangu amenipigia simu eti anadai huko Ifakara, Tume imewataka wapigakura kutotiki against jina la mgombea bali wanatakiwa kila mpigakura aandike jina sahihi la mgombea wa chama chake, na watakaoshindwa kuandika, wasimamizi wa uchaguzi wamepewa maagizo ya nini cha kufanya.
Je huu si Ubakaji wa demokrasia?
Je huko kwingine nako hali iko hivi?
Naomba kiwasilisha.