CCM yaamua kumng`oa Selasini jimbo la Rombo

CCM yaamua kumng`oa Selasini jimbo la Rombo

Imedhibitika kwamba CCM imedhamiria kuhakikisha mbunge wa Rombo Mh.Selasini harudi baada ya uchaguzi ujao. Hii ni kutokana na mkakati waliouweka baada ya kufanya tathmini ya uchaguzi mdogo uliopita.

Pamoja na hayo jimbo la Rombo linaonekana lina changamoto nyingi hivyo kuhitaji Mbunge kijana na makini ili kumudu mikiki ya eneo husika.

Katika kuchunguza ukweli wa hili mchunguzi wetu alipita maeneo ya kata ya mahango na nguduni na kujaribu kuzungumza na baadhi wa kazi ambao walilaumu kwamba kuna tatizo sugu la maji ambalo halijashughulikiwa kwa kipindi kirefu.

Hii inaonyesha kwamba Mbunge aliyepo ameshindwa achilia mbali changamoto ya maji bado kuna tatizo la uhaba wa madawati na matatizo mengine ya kielimu yanayoonyesha kwamba ameshindwa kuchapa kazi ipasavyo.

Nawasilisha

Hesding sahihi ilipaswa kuwa: "CCM yaweka mikakati ya kumng,oa.."
 
Wewe mwana ccm mwenzangu lakini huwezi kuwa serious! yaani umefanya utafiti kata mbili ukaja na conclusion ya hivyo? hakuna ulicho fanya zaidi ya kujenga mazingira ya kushambuliwa na wapinzani wetu. nakushauri rejea rules za ku conduct research ndo urudi kutupia jf halafu wazee wenye nia ya kugombea rombo kwa ticket ya ccm wana haki ya kufanya hivyo. ujana si kipimo wala kigezo cha kiongozi bora.ukiwatenga wazee inakosea sana otherwise ungetamka bayana kuwa una mpango wa kugombea huko rombo.
 
Ni kweli pale kuna eneo toka huku mwika madukani ukifika kirimeni shuka mpaka huko mahida, mteri huko maji ni ya shida sana ila kuna miundombinu ya siku nyingi tu sema uvivu wa viongozi wameshindwa kufuatilia ili maji yatoke.
Pale pia kuna diwani wa eneo hilo Sijui wanafanya nn hawa watu Ni bora wananchi wafanye maamuzi magumu kama walivyomkataa Mramba

Acha kudandia hoja. Kwani mwika madukani ni Rombo???
Hiloooo
 
Acha kudandia hoja. Kwani mwika madukani ni Rombo???
Hiloooo
Swala la Changamoto hasa la Maji ukanda wa Chini maeneo ya Mteri na Mrimba ni Mtambuka na swala hili halihitaji zimamoto bali utatuzi endelevu na ni moja na maswala ambyo Tayari ni Mpango kazi wa Serikali.
 
Then you should be careful. .. Kitendo cha hiyo SACCO kukubali mchango kutoka kwa mwanaCCM kitakuja kumtafuna Ben kwenye propaganda. Nazijua sana siasa za Rombo tangu 1990 na najua ninachokisema...

Wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa nilikuwa Rombo... Nilizunguka maeneo ya Tarakea na Usseri sana. Najua mpambano utakuwa kati ya 30 na Sa8, Frate bado hajajipanga sana.
Lakini nikuhakikishie, unless Ben changes approach. .. 30 will beat him. Mkicheza rafu jimbo litarudi CCM...

Mbona Selasini alichukua fedha kutoka kwa Njiwa ambaye ni ccm 2010?
uchaguzi uliopita selasini alijijengea mtandao na rafu nyingi dhidi ya kijana Kinabo ambaye hajakulia Rombo na hata kilugha alikua hajui .Sasa kinachomsumbua safari kakutana na vijana halisi wa Rombo ambao pia wanaijua siasa ya huku.selasini au frate nao hawapaswi kufurahia mashambulizi anayofanyiwa ben na ccm huku.Hiyo SACCOS imejumuisha vijana wa boda bila kuegemea itikadi na sioni kosa
 
Wakitaka mzee asimame Josee anatosha. Wakitaka vijana watakimbia wao maana wako wa kutosha, kuna Ben Saanane kuna Frate kuna Kinabo n.k

Mchezo aliofanyiwa Kinabo 2010 kwenye kura za maoni sasa hawezi kurudi rombo tena labda jimbo lingine
 
Siasa zenu za Rombo mnazifanya global?nani asiyejua kwamba Rombo ni jangwani?Selasini ataleta maji Rombo ana Serikali?bado utafiti uliofanya umeokota maneno vijiji viwili unakuja kutuambia hapa jf?wewe umetoka wapi mshamba na mmbea hivyo?jipange.
 
Majirani wanajipanga kujenga uchumi imara CCM huku inajipanga kuwang'oa wapinzani.Yaani CCM wako kule kufikiria madaraka tu kuliko kulijenga taifa
 
Mbona Selasini alichukua fedha kutoka kwa Njiwa ambaye ni ccm 2010?
uchaguzi uliopita selasini alijijengea mtandao na rafu nyingi dhidi ya kijana Kinabo ambaye hajakulia Rombo na hata kilugha alikua hajui .Sasa kinachomsumbua safari kakutana na vijana halisi wa Rombo ambao pia wanaijua siasa ya huku.selasini au frate nao hawapaswi kufurahia mashambulizi anayofanyiwa ben na ccm huku.Hiyo SACCOS imejumuisha vijana wa boda bila kuegemea itikadi na sioni kosa

Interesting. ...
Mkuu nikipata mda nitakuja inbox tuzijadili kidogo siasa za Rombo kuelekea uchaguzi mkuu..
Tuishie hapa ili tusiwape faida maCCM...
 
Imedhibitika kwamba CCM imedhamiria kuhakikisha mbunge wa Rombo Mh.Selasini harudi baada ya uchaguzi ujao. Hii ni kutokana na mkakati waliouweka baada ya kufanya tathmini ya uchaguzi mdogo uliopita.

Pamoja na hayo jimbo la Rombo linaonekana lina changamoto nyingi hivyo kuhitaji Mbunge kijana na makini ili kumudu mikiki ya eneo husika.

Katika kuchunguza ukweli wa hili mchunguzi wetu alipita maeneo ya kata ya mahango na nguduni na kujaribu kuzungumza na baadhi wa kazi ambao walilaumu kwamba kuna tatizo sugu la maji ambalo halijashughulikiwa kwa kipindi kirefu.

Hii inaonyesha kwamba Mbunge aliyepo ameshindwa achilia mbali changamoto ya maji bado kuna tatizo la uhaba wa madawati na matatizo mengine ya kielimu yanayoonyesha kwamba ameshindwa kuchapa kazi ipasavyo.

Nawasilisha

Acha kuandika maroroso na blaa blaa wakati ukweli hauujui..! Huna details wala utafiti wowote, . ...kwa taarifa yako, Selasini kafanya makubwa kuliko mbunge yeyote aliyekaa Rombo, na juhudi zake zinajulikana na CDM kimeimarika sana Rombo.
Basil Mramba wa CCM amekuwa kiongozi Mkubwa kitaifa na mbunge wa Rombo kwa zaidi ya Miaka 35, na pia Waziri wa Viwanda na Biashara, na tena Waziri wa Fedha ambako ndiko kodi yote inayokusanywa na serikali ya chama chake CCM ilikuwa inaipelekwa lakini muulize kama anakumbuka kushughulikia tatizo la maji Rombo, sembuse na kero nyingine mfano Ukosefu ya Ajira ambao umewasumbua sawa vijana wa Rombo na kuishia kuwa vibarua, wachuuzi na walevi wa kupindukia? Rombo ingekuwa na Mji mkubwa kibiashara na Viwanda, Mramba kafanya nini? Wizi mtupu! Kawekeza kwa wengine, Arusha na anakojua mwenyewe, alishindwa nini Rombo?

Hauna jibu!, CCM kwa Mkoa wa Kilimanjaro [Ukiondoa inakowahadaa kwenye njaa, Upareni], inajua imeshapotea choo, 'itafute msalani' kwingine ikajisetiri...! Kama sio Selasini, ni CDM mwingine au UKAWA na sio WEZI wenzako CCM.
 
Kwani Selasini anakusanya kodi?Au Selasini ni serikali inayotakiwa kuhudumia WANANCHI wake?

Hivi kazi ya MBUNGE ni kupeleka maji na kuahakisha madawati yanakuwepo kwenye shule za serikali?

Ni miaka mingapi upinzani wamekaa kwenye jimbo hilo VS CCM?

Sasa kama hii ni kazi ya MBUNGE kazi za serikali ni zipi.Mleta mada ukitufahamisha labda tutakuelewa.

How I really like this!
 
Back
Top Bottom