CCM yaamua kumng`oa Selasini jimbo la Rombo

Mkuu kama una nakala ya matokeo kata kwa kata hapo naomba uangalie tena...

1. Mashati haina wapiga kura wengi zaidi ya Tarakea. Tarakea ilikuwa na karibia nusu ya wapiga kura. Ukijumlisha na Usseri, especially Urauri, Ngaseni, Marongota, Kahe na Leto; tayari una zaidi ya 60 ya wapiga kura. Uchaguzi wa mwaka 1995 ulitoa picha halisi, kwani Tarakea na Usseri walibase kwa Salakana. Mashati wakabase kwa Ngalai na Mkuu na Mengwe wakabase kwa Mramba. Salakana alishinda kirahisi...

2. Hadi sasa Selasini ana strong hold Tarakea yote, mashima, Ngaseni, na Kahe, kuliko sehemu yeyote Rombo.

3. Mashati haitabiriki, na mara nyingi wanaangalia haiba ya mtu kuliko chama ama origin, hasa inapokuwa sio mtu wao. Lakini inapokuwa mtu wao. huwaambii kitu. Nadhani unakumbuka Ngalai alivyokuwa anatisha Mashati, pamoja na kwamba Mramba alikuwa favourite candidate...

4. Frate sio wa Usseri. Frate ni wa Tarakea, Nayeme. Kwa Tarakea Frate anaonekana kama "the best alternative" kama mgombea hatakuwa Selasini.

5. Usseri, hususani ukanda wa chini wenye wapiga kura wengi ni rahisi sana kushabihiana na maamuzi ya Tarakea. Refer uchaguzi wa 1995 utaona jinsi Salakana alivyobebwa na Usseri na Tarakea...

Comparison kati ya Ben na Frate...
Frate namfahamu "in and out", Ben namfahamu kupitia mitandao. In general, Ben will make a better MP than Frate... sio kwa maendeleo ya Rombo, bali kwa ujumla wa uhai na mchango wake kwa chama na taifa. Hata hivyo, kama tunataka kuangali mtu anayekubalika na atakayeweza kupambana na CCM ili jimbo libaki, Frate is far better than Ben. Frate amekulia Tarakea na anajulikana. Ukiuliza mtu yeyote Tarakea au Usseri atakwambia, yes, Frate anafaa, but asubiri kwanza Selasini aende kipindi kingine. Ukiwauliza kuhusu Ben, zaidi ya viongozi wa chama, kiukweli hawamjui.

Jipangeni...

Tuko kimsingi Tarakea ndio yenye idadi kubwa ya Wapigakura na Pia ni kweli Pia Mvumo wa Tarekea umekuwa siku zote ukitoa ushawishi wakimaeneo na hasa kwa Upande wa Usseri.

Pia si kweli kwamba Selasini bdo ana ushawishi kama ilivyo Mwanzoni ukianzia Usseri kuelekea Tarakea,Selasini alifanya makosa ya Kiufundi hasa ugomvi wake na Viongozi wa chini wa CDM baada ya Uchaguzi wa 2010.

Ni bahati Mbya amekumbuka shuka kumekucha alipaswa kukaa nao Pamoja kumaliza tofauti zao.

Ila ni ukweli bila kujali atakayesimama ni nani CCM hawana nafasi katika Jimbo la Rombo.
 
Last edited by a moderator:

Boss, sidhani kama 30 alipoteza popularity baada ya uchaguzi 2010. Ingekuwa hivyo basi asingefanikiwa kurejesha kata ya Nanjara-Reha kwenye uchaguzi mdogo 2012. Mind you aliyegombea na CCM alikuwa diwani na CDM kabla (Mnene). Na ile kata ni kielelezo cha kukubalika kwa CDM Rombo kwani juhudi zote za miamba ya CCM, kina Mhindi, Waha, Mchomba, Ngaleku, wakisaidiwa na kina Maulid, Kanyau, Nk... zimegonga mwamba chini ya Selasini
 
Tuko nadhani huenda hujanielewa nimesema Selasini na Sio Chama,

Nguvu ya akina Maulidi n.k Ilikuwepo tokea Miaka ya Nyuma na haijawah kubadilika ila uelewa wa Watu wa Rombo ni wakuridhisha.

Kimsingi Ugomvi wa Selasini na Viongozi wa CDM wa chini hasa Usseri na TK umemuathiri ndani ya Chama.
 
Anyway. ..
Uhakika nilionao CDM itashinda tena 2015... na hiyo ndo muhimu kwetu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama una nakala ya matokeo kata kwa kata hapo naomba uangalie tena...

1. Mashati haina wapiga kura wengi zaidi ya Tarakea. Tarakea ilikuwa na karibia nusu ya wapiga kura. Ukijumlisha na Usseri, especially Urauri, Ngaseni, Marongota, Kahe na Leto; tayari una zaidi ya 60 ya wapiga kura. Uchaguzi wa mwaka 1995 ulitoa picha halisi, kwani Tarakea na Usseri walibase kwa Salakana. Mashati wakabase kwa Ngalai na Mkuu na Mengwe wakabase kwa Mramba. Salakana alishinda kirahisi...

2. Hadi sasa Selasini ana strong hold Tarakea yote, mashima, Ngaseni, na Kahe, kuliko sehemu yeyote Rombo.

3. Mashati haitabiriki, na mara nyingi wanaangalia haiba ya mtu kuliko chama ama origin, hasa inapokuwa sio mtu wao. Lakini inapokuwa mtu wao. huwaambii kitu. Nadhani unakumbuka Ngalai alivyokuwa anatisha Mashati, pamoja na kwamba Mramba alikuwa favourite candidate...

4. Frate sio wa Usseri. Frate ni wa Tarakea, Nayeme. Kwa Tarakea Frate anaonekana kama "the best alternative" kama mgombea hatakuwa Selasini.

5. Usseri, hususani ukanda wa chini wenye wapiga kura wengi ni rahisi sana kushabihiana na maamuzi ya Tarakea. Refer uchaguzi wa 1995 utaona jinsi Salakana alivyobebwa na Usseri na Tarakea...

Comparison kati ya Ben na Frate...
Frate namfahamu "in and out", Ben namfahamu kupitia mitandao. In general, Ben will make a better MP than Frate... sio kwa maendeleo ya Rombo, bali kwa ujumla wa uhai na mchango wake kwa chama na taifa. Hata hivyo, kama tunataka kuangali mtu anayekubalika na atakayeweza kupambana na CCM ili jimbo libaki, Frate is far better than Ben. Frate amekulia Tarakea na anajulikana. Ukiuliza mtu yeyote Tarakea au Usseri atakwambia, yes, Frate anafaa, but asubiri kwanza Selasini aende kipindi kingine. Ukiwauliza kuhusu Ben, zaidi ya viongozi wa chama, kiukweli hawamjui.

Jipangeni...

mimi ni kiongozi wa chama Rombo na ninamjua Ben,Frate na Selasini

Mashati ina wapiga kura wengi hasa ukanda wa juu ambako concentration ya watu kwa kilomita ya mraba ni 500 wakati ukanda wa chini unaosema huko Useri ni 200

Jumlisha matokeo ya kata zote uangalie waliojiandikisha na waliojitokeza katika upiga kura

Salakana alipata ubunge kwa kuwa alijenga mtandao na alikua mgombea mpya wakati ngalai na mramba tayari walishakua wabunge na walishachafuka tayari

Pamoja na kuwa frate ametokea useri lakini kata yenye wapiga kura wengi kwa useri ni mashima ambako leo tumekuta jina la Ben liko juu na hii ni kutokana na kuwa hata juzi juzi mkutano wa bodaboda na machinga zaidi ya 1000 uliofanyika tarakea Ben aliutumia kujijenga vizuri kama mwalikwa

Kata ya nanjara reha kule tarajea ina wapiga kura wengi kwa upande wa Tarakea.ni ngome ambayo ben amejipenyeza na suala la pale ni udiwani

kitendo cha ben kuvamia mkuu, tarakea na usseri kinamuweka nafasi nzuri na hata ccm wanajua kwamba tayari ngome zao zimeingiliwa ukisoma mtanzania la juzi tarehe 20.01.2015. Cha msingi wote wafuate kanuni na ushindani utakua ni frate na Ben Saanane

Frate anaweza kuipata Usseri ukanda wa chini lakini hataweza kuikabili mikimiki ya Ccm rombo kimkakati na pia haiba .Uwezo wake jukwaani ni changamoto sana ingawa nae ni mzuri kwa mikakati ya kichini ndani ya chama
 
Boss, sidhani kama 30 alipoteza popularity baada ya uchaguzi 2010. Ingekuwa hivyo basi asingefanikiwa kurejesha kata ya Nanjara-Reha kwenye uchaguzi mdogo 2012. Mind you aliyegombea na CCM alikuwa diwani na CDM kabla (Mnene). Na ile kata ni kielelezo cha kukubalika kwa CDM Rombo kwani juhudi zote za miamba ya CCM, kina Mhindi, Waha, Mchomba, Ngaleku, wakisaidiwa na kina Maulid, Kanyau, Nk... zimegonga mwamba chini ya Selasini

Zitto akiwa msafi ndani ya chama ndio alifanya kazi kuirejesha nanjara reha na alienda kufunga kampeni.Jiulize kwanini akafunge yeye wakati jimbo lina mbunge?alipoteza popularity

Tena kuna mahali tunapita tunapata shida sana wanatuambia msimlete selasini tena

Mkutano wa juzi wa bodaboda ngaleku amekubali kuwachangia akina ben 1000,000 kwenye saccos yao

Pia akina Tilisho ambao walikua ccm sasa hivi wanamsapoti ben na hata serikali za mitaa walikubali kutuchangia na walisema wao ni ccm lakini mwanakiarano mwenzao mpya (ben) wanamuunga mkono
 
Tuko kimsingi Tarakea ndio yenye idadi kubwa ya Wapigakura na Pia ni kweli Pia Mvumo wa Tarekea umekuwa siku zote ukitoa ushawishi wakimaeneo na hasa kwa Upande wa Usseri.

Pia si kweli kwamba Selasini bdo ana ushawishi kama ilivyo Mwanzoni ukianzia Usseri kuelekea Tarakea,Selasini alifanya makosa ya Kiufundi hasa ugomvi wake na Viongozi wa chini wa CDM baada ya Uchaguzi wa 2010.

Ni bahati Mbya amekumbuka shuka kumekucha alipaswa kukaa nao Pamoja kumaliza tofauti zao.

Ila ni ukweli bila kujali atakayesimama ni nani CCM hawana nafasi katika Jimbo la Rombo.

si hivyo tu hata uongozi wa wilaya ana ugomvi mkubwa kabisa na busara zimemponyoka sijui ni paniki ya kupoteza jimbo au ni nini.Sikuwahi kufikiria atafika hapa.Nilimpigania sana 2010 lakini kweli hali si nzuri sasa
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe ni mzoefu wa siasa za Rombo utakuwa umegundua kuwa siasa za pale zimegawanyika kati ya Rombo kaskazini na Rombo kusini. Na kuwa Selasini "alibebwa" sana na Rombo kaskazini mwaka 2010.
Na kwamba hadi sasa Rombo kaskazini (yenye zaidi ya 60% ya wapiga kura) inamuamini Selasini. Na wengi wanaona kuwa CCM inajipanga kutokea kusini...

Sasa hapo malizia mwenyewe...
Umenikumbusha enzi za Leon Ngalai na Basil Mramba
 
Zitto akiwa msafi ndani ya chama ndio alifanya kazi kuirejesha nanjara reha na alienda kufunga kampeni.Jiulize kwanini akafunge yeye wakati jimbo lina mbunge?alipoteza popularity

Tena kuna mahali tunapita tunapata shida sana wanatuambia msimlete selasini tena

Mkutano wa juzi wa bodaboda ngaleku amekubali kuwachangia akina ben 1000,000 kwenye saccos yao

Pia akina Tilisho ambao walikua ccm sasa hivi wanamsapoti ben na hata serikali za mitaa walikubali kutuchangia na walisema wao ni ccm lakini mwanakiarano mwenzao mpya (ben) wanamuunga mkono

Mkuu kama wewe ni kiongozi wa chama mbona unaonyesha kuwa biased towards Ben?! Kwa nini usiwe neutral kama kiongozi?

Alafu nikuambie tena, Frate sio wa Usseri...

Na unataka kuniambia Ngaleku siku hizi ni CDM ama?
 
si hivyo tu hata uongozi wa wilaya ana ugomvi mkubwa kabisa na busara zimemponyoka sijui ni paniki ya kupoteza jimbo au ni nini.Sikuwahi kufikiria atafika hapa.Nilimpigania sana 2010 lakini kweli hali si nzuri sasa
Nakubaliana na Wewe kuwa Kwenye kura za Maoni ni ama Frate ama Ben saanane,

Na ni ukweli kuwa Frate kwa Usseri ana nguvu hasa ukizingatia ametokea pale na Usharika wake na Joseph Minja.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama wewe ni kiongozi wa chama mbona unaonyesha kuwa biased towards Ben?! Kwa nini usiwe neutral kama kiongozi?

Alafu nikuambie tena, Frate sio wa Usseri...

Na unataka kuniambia Ngaleku siku hizi ni CDM ama?

Ni wa Tarakea na wazazi wake ni CCM

Ngaleku sio Chadema lakini aliwachangia kama tilisho alivyofanya.Sijawa biased ila sikutaka upotoshaji na uninga unaofanywa dhidi yake wakati tunajua tutapata shida baadae mwezi wa 8 na kuendelea
 
Nakubaliana na Wewe kuwa Kwenye kura za Maoni ni ama Frate ama Ben saanane,

Na ni ukweli kuwa Frate kwa Usseri ana nguvu hasa ukizingatia ametokea pale na Usharika wake na Joseph Minja.

mzee kimemeta(baba yaje Lulu Msanii) yupo huku ambaye Frate amemleta lakini anakiri ngoma ni ngumu.Kwetu viongozi tunaona chama kinaimarika kwa hali hii.Leo viongozi wa kata zaidi ya nusu wako na ben na hilo tumekemea kwa sababu hatutaki mpasuko mkubwa na hata ben tunamwandikia na frate na Masika.hatutaki mpasuko
 
Last edited by a moderator:
Imedhibitika kwamba CCM imedhamiria kuhakikisha mbunge wa Rombo Mh.Selasini harudi baada ya uchaguzi ujao. Hii ni kutokana na mkakati waliouweka baada ya kufanya tathmini ya uchaguzi mdogo uliopita.

Pamoja na hayo jimbo la Rombo linaonekana lina changamoto nyingi hivyo kuhitaji Mbunge kijana na makini ili kumudu mikiki ya eneo husika.

Katika kuchunguza ukweli wa hili mchunguzi wetu alipita maeneo ya kata ya mahango na nguduni na kujaribu kuzungumza na baadhi wa kazi ambao walilaumu kwamba kuna tatizo sugu la maji ambalo halijashughulikiwa kwa kipindi kirefu.

Hii inaonyesha kwamba Mbunge aliyepo ameshindwa achilia mbali changamoto ya maji bado kuna tatizo la uhaba wa madawati na matatizo mengine ya kielimu yanayoonyesha kwamba ameshindwa kuchapa kazi ipasavyo.

Nawasilisha

CCM madarakani miaka yote hii hakufanya leo anakuja Selasini ndiyo mnasema mnakuja na mkakati ?

Poleni sana .
 
mzee kimemeta(baba yaje Lulu Msanii) yupo huku ambaye Frate amemleta lakini anakiri ngoma ni ngumu.Kwetu viongozi tunaona chama kinaimarika kwa hali hii.Leo viongozi wa kata zaidi ya nusu wako na ben na hilo tumekemea kwa sababu hatutaki mpasuko mkubwa na hata ben tunamwandikia na frate na Masika.hatutaki mpasuko
Mzee Kimemeta alipoteza kata ya Kirongo kizembe sana mwaka 2010 sidhani kama atasimama tena.

Frate ana Biashara hapo Usseri na ameitumia Vyema kujichanganya na Watu.
 
Ni wa Tarakea na wazazi wake ni CCM

Ngaleku sio Chadema lakini aliwachangia kama tilisho alivyofanya.Sijawa biased ila sikutaka upotoshaji na uninga unaofanywa dhidi yake wakati tunajua tutapata shida baadae mwezi wa 8 na kuendelea

Then you should be careful. .. Kitendo cha hiyo SACCO kukubali mchango kutoka kwa mwanaCCM kitakuja kumtafuna Ben kwenye propaganda. Nazijua sana siasa za Rombo tangu 1990 na najua ninachokisema...

Wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa nilikuwa Rombo... Nilizunguka maeneo ya Tarakea na Usseri sana. Najua mpambano utakuwa kati ya 30 na Sa8, Frate bado hajajipanga sana.
Lakini nikuhakikishie, unless Ben changes approach. .. 30 will beat him. Mkicheza rafu jimbo litarudi CCM...
 
Tuko Mshindi ni Ama Frate ama Ben saanane,Selasini ndani ya Chama hana chake.
 
Last edited by a moderator:
Wakitaka mzee asimame Josee anatosha. Wakitaka vijana watakimbia wao maana wako wa kutosha, kuna Ben Saanane kuna Frate kuna Kinabo n.k
 
Back
Top Bottom