CCM yaamua kumng`oa Selasini jimbo la Rombo

CCM juzi mlipigana na kumtusi mzee Urassa juwa anatumika na Ben Saanane.Mmeumia kama kijana Mwenyewe ni Bonny au Mmanda kiboko yenu atakua Ben Saanane tena
 
Kelele tu Juzi nilikuwa Rombo Mambo yako vizuri sana upande wa Chadema.....
 
Hivi ccm wanaviti vingapi hapo Rombo (Wenyeviti wa vijiji) labda tuanzie hapo kwanza..!!!

Halafu mwenye hilo jimbo katulia kimya hana papala wala nini, Uliza kazi yake aliyoifanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni kijana makini mjenzi wa hoja bobovu kwenye halaiki mpaka Mitandaoni, We subiri tu muda ufike achukue form. Ninaamini wana Rombo wanaimani naye na imani hiyo kwake wameionyesha kwenye uchaguzi Serikali za mitaa uliopita..

Wait an See.

BACK TANGANYIKA

Ni jukumu la Ben Saanane kutulia na kuendeleza ushirikiano na uongozi uliopo sasa.namwombea afya njema mpiganaji wetu wa ukweli
 
Ni yule mumeo

Inabidi wananchi waelemishwe nini kazi ya MBUNGE na nini kazi ya SERIKALI. Mbunge hana ulazima wowote ule wa kutoa pesa kujenga darasa, kupeleka maji au la. Akifanya hivyo ni kwa mapenzi aliyonayo kwa wananchi wake. Wananchi wakumbuke kuwa mbunge kazi yake kubwa ni kuisimamia, kuikosoa na kuiwajibisha serikali. Kazi yake ya jimboni ni kuhakiisha kuwa pesa inayotolewa na serikali inatumika kama ilivyopangwa kwenye bajeti.

Sasa Selasini atoe mshahara wake kwa huduma za kijamii tunazolipa kodi kila siku akaweke maji Rombo. Watu wengine inabidi wafikiri angalao hatua mbili mbele.

Natoa hoja
 
Ben saanane anaendeleza fitina zake kwa Selasini. Adui mkuu wa Selasini ni Ben Saanane sio CCM

wewe si ccm? anayemchafua ben ni Selasini na Katibu wake na ameajiri vijana watatu kwa kazi iyo.Juzi tulikua nae mbele ya uongozi anamsema ben kuwa hajaoa ni mhuni tu na mengineyo.Tunashukuru ben ametulia lakini kura za maoni ndizo zitakazoamua na mchuano utakua mkali sana hasa ben na frate masika.Selasini anaweza asiione hata 3 bora kama Mwera wa Tarime
 
Siasa za Rombo tunazijua name harakati za Ben kumfitini Selasini Rombo na makao makuu hakuna mwanarombo asiezijua. Ben analitaka sana jimbo la rombo hat a ikibidi kumwaga damu yuko tayari. Ben ni gaidi hatari sana
 
Kwa mambo kama haya ya hoja nyepesi za hajaoa ndio maana wazee hawa wanatakiwa kupumzika ss ni muda wa vijana kusimama.
Natumaini baada ya kura za maoni mgombea wenu atakutana na mgombea kijana ambae ndie chaguo la wanarombo
 
Ni kweli pale kuna eneo toka huku mwika madukani ukifika kirimeni shuka mpaka huko mahida, mteri huko maji ni ya shida sana ila kuna miundombinu ya siku nyingi tu sema uvivu wa viongozi wameshindwa kufuatilia ili maji yatoke.
Pale pia kuna diwani wa eneo hilo Sijui wanafanya nn hawa watu Ni bora wananchi wafanye maamuzi magumu kama walivyomkataa Mramba

ccm toka mwaka 1977 had 2010 vp yalikuwepo maji huko?
 
Siasa za Rombo tunazijua name harakati za Ben kumfitini Selasini Rombo na makao makuu hakuna mwanarombo asiezijua. Ben analitaka sana jimbo la rombo hat a ikibidi kumwaga damu yuko tayari. Ben ni gaidi hatari sana

Binti,

Usipende kutajataja majina ya watu usiowajua

Sifanyi siasa za maneno mengi saana

Waliotayari kumwaga damu wanajijua na wameshafanya hivyo.Hakuna tone la damu litakalopotea bure

Nawatakia mjadala mwema
 
Watu wanaangalia Mtu sio chama jamani.
Hawa wawakilishi wanaotaka huruma za wananchi bila utendaji unaonekana watapigwa chini 2015. Jimbo la Rombo linahitaji kijana na tayari CCM wameshamwandaa kijana mwenye shule ya kutosha tayari kwa kupeperudha bendera

Mama Masikini ni kijana?
 
Ni jukumu la Ben Saanane kutulia na kuendeleza ushirikiano na uongozi uliopo sasa.namwombea afya njema mpiganaji wetu wa ukweli

Mtachemka sana mkimuondoa Selasini ili agombee mtu mwingine...
Na hata ikiwa hivyo a slightly better candidate atakuwa Masika...
 
Siasa za Rombo tunazijua name harakati za Ben kumfitini Selasini Rombo na makao makuu hakuna mwanarombo asiezijua. Ben analitaka sana jimbo la rombo hat a ikibidi kumwaga damu yuko tayari. Ben ni gaidi hatari sana
Duh kwa upeo wako huu sishangai Tanzania kuwa Miongoni Mwa Mataifa yete watu wenye upeo mdogo zaidi duniani.
 
Watu wanaangalia Mtu sio chama jamani.
Hawa wawakilishi wanaotaka huruma za wananchi bila utendaji unaonekana watapigwa chini 2015. Jimbo la Rombo linahitaji kijana na tayari CCM wameshamwandaa kijana mwenye shule ya kutosha tayari kwa kupeperudha bendera

CCM imeshindwa kuleta maji na madawati Miaka hamsini 1961-2010 halafu inathubutu kusema Selasini hajaleta maendeleo
 
Ben saanane anaendeleza fitina zake kwa Selasini. Adui mkuu wa Selasini ni Ben Saanane sio CCM

Vijana wa magamba mmeishiwa wstu wa propaganda kiukweli,mpaka kuleta propaganda ya kitoto kiasi hiki,ningekuwa mimi Nape ningewapiga chini kitengo chote cha propaganda pamoja na bosi wenu Mtela na Shonza.
 
Kweli upepo uliopita 2010 ukiwaingiza watu wengi wa CDM sio tena huu wa 2015 hii ni habari nyingine na CCM haifanyi makosa hata kidogo.Inaleta mtu anaekubalika na marika yote tayari kila kitu kiko sawa
 
Binti,

Usipende kutajataja majina ya watu usiowajua

Sifanyi siasa za maneno mengi saana

Waliotayari kumwaga damu wanajijua na wameshafanya hivyo.Hakuna tone la damu litakalopotea bure

Nawatakia mjadala mwema

Ben kama kitengo cha Nape cha propaganda ni hiki atasubiri sanaa!!!!
 
Back
Top Bottom