Hana uwezo huo hata, katika Katiba alikariri mambo manne tu (serikali 3, vyeo vya RC na DC, kuondolewa, kupunguza madaraka ya rais na kubana matumizi).
Nje ya hapo hakuwa na akili kabisa ni mvivu wa kufikiri na kujenga hoja hawezi.
Tena, ccm ishukuru sana Rais Dr Magufuli, anaokoa jahazi ila angekuwa rais ambaye hatendi angalau mambo ambayo jamii ilitamani kuona yanafanywa. Basi, ccm ingekuwa n tayari ni chama ambacho ni "hayati ccm"
Kupata zero shuleni hakujawahi kumwacha mtu salama hata kama itapita miaka 20 bado sifuri inaonekana.