lackg
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 641
- 268
Takarbani mwaka mmoja umepita tangu mdogo wangu Polepole ateuliwe kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa chama chake cha CCM, kinyume na matarajio ya wengu kuwa CCM ilikuwa imepata kijana mwenye uwezo wa kujibu hoja za upinzani kwa hoja tofauti na sasa (vihoja)chama kimekosa msemaji anayeweza kujibu hoja za upinzani na ikaeleweka kwa jamii, amekuwa ni mtu aliyejificha nyuma ya siasa za vichekesho na matukio. Ajifunze kwa mtangulizi wake Nape.
Huyu si yule Polepole watu waliomfahamu kupitia katiba mpya akipigania serikali 3 huyu wa sasa hivi bora hata na Haji Manara wa Simba.
Ni kama chama kimekosa kijana shupavu anayejiamini mwenye uwezo wa kueleza msimamo wa chama na kuwavutia vijana.