CCM Wilayani Tunduma “dhooful hali”

CCM Wilayani Tunduma “dhooful hali”

Wana mbeya tulisha kula kiapo cha kuifuta ccm
Wanatunduma hoyeeeeeeeeee! Naona mnajua ukweli na hamkubali kusukumwa kama toroli, heko sana.
 
10 Julai 2020
Dodoma, Tanzania

Nyufa ndani ya CCM, Makundi yaibuka

Tayari wana CCM ya Zamani wakiwakilishwa na MNEC toka Momba Songwe amefikisha ujumbe juu ya kutoridhika na CCM Mpya kuwasahau waliokipigania chama 2010 - 2015

MAGUFULI AMPA MAKAVU ALIYELALAMIKA WANAOHAMIA CCM KUPEWA VYEO, "NATAKA AWE MJUBE WA NEC"
 
Leo hii mjini Tunduma wana chadema wameionyesha ccm kuwa bado wapo na chama chao na hivyo kuizima kabisa kabisa ccm.

Hiyo imekuja baada ya wana Tunduma maelfu kujitokeza kwenye mapokezi ya aliye kuwa mbunge wao mh Mwakajoka kwa shangwe na nderemo na kuufanya mji wa Tunduma kusimama kwa muda huku shughuli za uzalishaji mali zikisimama kwa muda.

Hii ni kuionyesha ccm kuwa kama walikuwa na ndoto za kulinyemelea jimbo hilo wasipoteze fedha zao na muda wao kwani wana Tunduma bado wapo na cdm. View attachment 1488796View attachment 1488797View attachment 1488798
Ccm hawajawahi kuwa strong pahalaa popote pale. I stand to be corrected
 
10 Julai 2020
Dodoma, Tanzania

Nyufa ndani ya CCM, Makundi yaibuka

Tayari wana CCM ya Zamani Tunduma wakiwakilishwa na MNEC toka Momba Songwe amefikisha ujumbe juu ya kutoridhika na CCM Mpya kuwasahau waliokipigania chama 2010 - 2015

Hiyo ndiyo tunaisubiria kwa hamu sana maana wahenga wanasemaga kuwa adui muombee njaaa
10 Julai 2020
Dodoma, Tanzania

Nyufa ndani ya CCM, Makundi yaibuka

Tayari wana CCM ya Zamani wakiwakilishwa na MNEC toka Momba Songwe amefikisha ujumbe juu ya kutoridhika na CCM Mpya kuwasahau waliokipigania chama 2010 - 2015

Wenzako Nakapanya kipindi hiki wanaandaa mashamba ya korosho na kuvuna mbaazi wewe unashinda hapo lumumba unauza kashata, huoni kuwa ni kukosa maarifa?
Na ndiyo watakaoshinda kwa kishindo Kama uchaguzi Wa serikali za mitaa.
 
2 Julai 2020
Tunduma, Tanzania

Mamia ya Wananchi wajitokeza kumsikiliza Mwakajoka

MBUNGE wa Tunduma ( CHADEMA) Frank Mwakajoka, amefanya mkutano mkubwa wa hadhara na kuzungumza na wananchi wake kabla ya kufikia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2020.

Azungumzia kikokotoo cha pensheni walichosimamia wabunge wa upinzani ili kuwanusuru watumishi wa umma na sekta binafsi ikapelekea Serikali kukubaliana na hoja za wabunge wa upinzani.

Mwakajoka awaomba watumishi, wakulima, wafanyabiashara, bodaboda kuendelea kuvumulia hali ya kiuchumi ilivyo kwani wabunge wa CHADEMA wataendelea kuwatetea hali zenu ziwe bora zaidi.
Source: Global TV online
Frank Mwakajoka akitoa hoja bungeni

Apr 2020 bungeni Dodoma mbunge Frank Mwakajoka akizungumza
Source : CHADEMA MEDIA TV
 
Malofa na wapumbavu ninyi!!

Ni sauti ya Mzee Nkapa siku ya uzinduzi wa Kampeni 2015 pale jangwani
 
Leo hii mjini Tunduma wana chadema wameionyesha ccm kuwa bado wapo na chama chao na hivyo kuizima kabisa kabisa ccm.

Hiyo imekuja baada ya wana Tunduma maelfu kujitokeza kwenye mapokezi ya aliye kuwa mbunge wao mh Mwakajoka kwa shangwe na nderemo na kuufanya mji wa Tunduma kusimama kwa muda huku shughuli za uzalishaji mali zikisimama kwa muda.

Hii ni kuionyesha ccm kuwa kama walikuwa na ndoto za kulinyemelea jimbo hilo wasipoteze fedha zao na muda wao kwani wana Tunduma bado wapo na cdm. View attachment 1488796View attachment 1488797View attachment 1488798
.
Screenshot_20200709-132442.jpg
 
Muda huu Jimbo la Tuduma maelfu ya wananchi wajitokeza kwenye mkutano wa Mbunge aliemaliza muda wake, Mh. Frank Mwakajoka.

Alafu utasikia watu wanajidanganya kuwa cdm imekufa kisa kuwanunua wabunge na madiwani walio fika bei kwa uchu wa madaraka. View attachment 1495527View attachment 1495528
Hizi picha sio uthibitisho wa uhai. Vipi kama watu wamekuja kukuaga baada ya kufa? Kwani marehemu anaweza kupanga ni idadi gani ya watu waje kuaga?
 
Julai 2020
Mbozi, Tanzania

"Uchaguzi Huru 2020 muhimu kwa Taifa"

Mbunge wa Jimbo la Mbozi mchini Tanzania kupitia (CHADEMA) Pascal Haonga anayemaliza muda wa 5 kuwahudumia waTanzania, amewaasa viongozi wenye mamlaka ya kutoa haki kutenda hivyo maana amani iliyopo ni ndogo sana kutokana na CCM Mpya na serikali yake kundamizaji haki ya kikatiba ya uwepo demokrasia ya vyama vingi .

source : vwawa oniline
[
 
Tunduma, Songwe
Tanzania

MBUNGE WA JIMBO LA MBOZI PASCAL HAONGA (CHADEMA) KAANZA NA MPYA MWAKA 2020

Mbozi ni ngome mojawapo madhubuti ya CHADEMA, hali ya kisiasa Mbozi chini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo wananchi wanaikubali sana na kuielewa, hakika wananchi wa Mbozi wanajisikia fahari kwao kuzienzi sera za demokrasia na maendeleo.

Hizi picha sio uthibitisho wa uhai. Vipi kama watu wamekuja kukuaga baada ya kufa? Kwani marehemu anaweza kupanga ni idadi gani ya watu waje kuaga?
Naona kiswahili chako ni kizito sana, maana sioni ulicho kimaanisha
 
Peoplessssssss
Tunduma, Songwe
Tanzania

MBUNGE WA JIMBO LA MBOZI PASCAL HAONGA (CHADEMA) KAANZA NA MPYA MWAKA 2020

Mbozi ni ngome mojawapo madhubuti ya CHADEMA, hali ya kisiasa Mbozi chini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo wananchi wanaikubali sana na kuielewa, hakika wananchi wa Mbozi wanajisikia fahari kwao kuzienzi sera za demokrasia na maendeleo.

Similar Discussions

Back
Top Bottom