mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,296
- 13,740
Labda dhaifu humu jfCCM Ni Dhaifu
Labda dhaifu humu jfCCM Ni Dhaifu
nimevuna ufuta Wa kutosha,nishapalilia mikorosho,nishapulizia sumu,nishapulizia mupavil,wiki ijayo napuliza sulphur.Nikipima korosho mwezi Wa 11 ntakutumia ununue walau banco.Wenzako Nakapanya kipindi hiki wanaandaa mashamba ya korosho na kuvuna mbaazi wewe unashinda hapo lumumba unauza kashata, huoni kuwa ni kukosa maarifa?
😆😆😆😆Leo hii mjini Tunduma wana CHADEMA wameionyesha CCM kuwa bado wapo na chama chao na hivyo kuizima kabisa CCM.
Hiyo imekuja baada ya wana Tunduma maelfu kujitokeza kwenye mapokezi ya aliye kuwa Mbunge wao Mwakajoka kwa shangwe na nderemo na kuufanya mji wa Tunduma kusimama kwa muda huku shughuli za uzalishaji mali zikisimama kwa muda.
Hii ni kuionyesha CCM kuwa kama walikuwa na ndoto za kulinyemelea jimbo hilo wasipoteze fedha zao na muda wao kwani wana Tunduma bado wapo na CHADEMA. View attachment 1488796View attachment 1488797View attachment 1488798
nimevuna ufuta Wa kutosha,nishapalilia mikorosho,nishapulizia sumu,nishapulizia mupavil,wiki ijayo napuliza sulphur.Nikipima korosho mwezi Wa 11 ntakutumia ununue walau banco.
Chadema ni kama corona. Inatisha sana. haipimiki kwa DNALeo hii mjini Tunduma wana CHADEMA wameionyesha CCM kuwa bado wapo na chama chao na hivyo kuizima kabisa CCM.
Hiyo imekuja baada ya wana Tunduma maelfu kujitokeza kwenye mapokezi ya aliye kuwa Mbunge wao Mwakajoka kwa shangwe na nderemo na kuufanya mji wa Tunduma kusimama kwa muda huku shughuli za uzalishaji mali zikisimama kwa muda.
Hii ni kuionyesha CCM kuwa kama walikuwa na ndoto za kulinyemelea jimbo hilo wasipoteze fedha zao na muda wao kwani wana Tunduma bado wapo na CHADEMA. View attachment 1488796View attachment 1488797View attachment 1488798
Palepale unapokwama weweHizi picha ndio inaonesha CCM dhaifu, Bavicha mnakwama wapi?
Hili ingizo jipya la Lumumba hovyo kabisa!Ha
Ha ha ha ha kweli wewe mujiniii mgeni,yaani unashindwa kuyajua maneno yanayotrend....kwi kwi kwikwi in Juma Lokole voice.
Yote kazi,karibu sanaJitahidi kujikomboa mkuu wenzako hapo lumumba wananufaika lkn siyo wewe kuuza kashata
Wakati mwingine sikiliza hats usichopenda kusikia.Nakuhakiishia upinzani hawatapata jimbo moja mkoa Wa songwe na Mbeya.Siyo kwa matakwa ya the ruled Bali kwa matakwa ya the rulers.Ukiniita Lumumba utajua mwenyewe.Jitahidi kujikomboa mkuu wenzako hapo lumumba wananufaika lkn siyo wewe kuuza kashata
Wakati mwingine sikiliza hats usichopenda kusikia.Nakuhakiishia upinzani hawatapata jimbo moja mkoa Wa songwe na Mbeya.Siyo kwa matakwa ya the ruled Bali kwa matakwa ya the rulers.Ukiniita Lumumba utajua mwenyewe.
Nzuri SanaNdiyo kazi zenu nyie wanyonge ambao mmekubari kuitwa hilo jina na baba yenu
sawa tunakusikiliza wewe mwenye hoja.Wewe ni lumumba tu maana huna hoja kama mazuzu wenzako kina@kipara kipya.
Baada ya maotea/mamluki kuondokaYaani cdm inazidi kuimarika kila kukicha tena sasa ni vijijjni
Baada ya maotea/mamluki kuondokaYaani cdm inazidi kuimarika kila kukicha tena sasa ni vijijjni
Hayo umeyasema wewe,nasubiri hoja kutoka kwako mtaalamu Wa hoja.Unataka kututhibitisha kuwa wewe ndiyo kati ya watu wanao wadhulu wenzao kwa kuwatoa damu na kuwaachia ulemavu kisa itikadi?