CCM Wilayani Tunduma “dhooful hali”

CCM Wilayani Tunduma “dhooful hali”

Ha
Leo ni siku yako ya tatu hapa JF.
Kajifunze kwanza kuandika ili ueleweke; Muuigizaji mkuu ni mh.mwenyekitiake,fundi wa FARU.....!!
Ha ha ha ha kweli wewe mujiniii mgeni,yaani unashindwa kuyajua maneno yanayotrend....kwi kwi kwikwi in Juma Lokole voice.
 
MZEE wa FARU John nakupa FAIDA tu...kwa wanaonijua vema upande wa VIJANA wa CCM huwa mm sikimbiagi vita Koko ya kitoto ISIYO HOJA kutoka chadema labda muje na MATUSI na ARGUMENTUM AD HOMINEM.
Karibu MCHUPA km ule wa mh.mwenyekitiakeeee!!
Vipi koromomije hawajambo? Nyahunge siku hizi ni sh ngapi hadi dar?
 
Kwani aliyekwambia kura ya mwananchi inachagua kiongozi ni nani?
Jiandaeni kisaikolojia baadaya uchaguzi 2020.Chama tawala kitashinda kwa asilimia 95 katika uchaguzi huru na Wa haki
 
Labda utakuwa huru na haki kwa wana lumumba
Kwani aliyekwambia kura ya mwananchi inachagua kiongozi ni nani?
Jiandaeni kisaikolojia baadaya uchaguzi 2020.Chama tawala kitashinda kwa asilimia 95 katika uchaguzi huru na Wa haki
 
Ngoma hiyo hapo tunategemea "mataga" waje waseme kuwa hiyo picha ni ya kutengeneza au ya mwaka 2015
 
Nyomi hiyo
Na ndiyo watakaoshinda kwa kishindo Kama uchaguzi Wa serikali za mitaa.
IMG_20200625_223303.jpeg
 
Leo hii mjini Tunduma wana chadema wameionyesha ccm kuwa bado wapo na chama chao na hivyo kuizima kabisa kabisa ccm.

Hiyo imekuja baada ya wana Tunduma maelfu kujitokeza kwenye mapokezi ya aliye kuwa mbunge wao mh Mwakajoka kwa shangwe na nderemo na kuufanya mji wa Tunduma kusimama kwa muda huku shughuli za uzalishaji mali zikisimama kwa muda.

Hii ni kuionyesha ccm kuwa kama walikuwa na ndoto za kulinyemelea jimbo hilo wasipoteze fedha zao na muda wao kwani wana Tunduma bado wapo na cdm. View attachment 1488796View attachment 1488797View attachment 1488798
Upinzani upo mioyoni mwa watu Mkuu aelewe ivo
 
Muda huu Jimbo la Tuduma maelfu ya wananchi wajitokeza kwenye mkutano wa Mbunge aliemaliza muda wake, Mh. Frank Mwakajoka.

Alafu utasikia watu wanajidanganya kuwa cdm imekufa kisa kuwanunua wabunge na madiwani walio fika bei kwa uchu wa madaraka.
FB_IMG_1593700327195.jpeg
FB_IMG_1593700313999.jpeg
 
Kachelewa sana maana sasa watanzania washajua mchele ni upi na pumba ni zipi na safari hii wapo tayari kukumbatia mchele safi.
utasababisha lucifa mtakatifu azidishe mateso kwa wateule wa bwana hapa nchini
 
Upinzani upo mioyoni mwa watu hauwezi kufa kwa kununua Viongozi wake,CCM wanapaswa watambue hao matapeli na walafi waliowanunua hawawezi kubadilisha mioyo ya watu kuipenda CDM
 
Point of correction ni... CDM... siyo ccm hapo kwenye mstali wa mwisho wa post yako.
Upinzani upo mioyoni mwa watu hauwezi kufa kwa kununua Viongozi wake,CCM wanapaswa watambue hao matapeli na walafi waliowanunua hawawezi kubadilisha mioyo ya watu kuipenda CCM
 
Muda huu Jimbo la Tuduma maelfu ya wananchi wajitokeza kwenye mkutano wa Mbunge aliemaliza muda wake, Mh. Frank Mwakajoka.

Alafu utasikia watu wanajidanganya kuwa cdm imekufa kisa kuwanunua wabunge na madiwani walio fika bei kwa uchu wa madaraka. View attachment 1495527View attachment 1495528
Wanatunduma hoyeeeeeeeeee! Naona mnajua ukweli na hamkubali kusukumwa kama toroli, heko sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom