Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,190
- 162,702
Ni matokeo ya kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri.Historical Mistake Waliofanya Ccm Ni Kununua Makapi Na Kuacha Kununua Wapiga Kura
Ni matokeo ya kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri.Historical Mistake Waliofanya Ccm Ni Kununua Makapi Na Kuacha Kununua Wapiga Kura
Ubongo wa mnyama NYUMBU ni mdogo sana HURITHISHA MAKOSA YA BABU ZAKE KWA WAJUKUU ZAKE....Akili yao iliwatuma kuwa, wakinunua makapi yatakuwa yakifuatwa na wanachama! watapata tabu sana na ubaya ni kwamba watu wamehifadhi hasira vifuani, utakuwa mtifuano ambao hawakuutarajia!
Karibu jf bidhaa mpya kutoka lumumba! Angalizo, hapa sio FB usije toka nduki kwa aibu!LIJUALIKALI alisema CDM si CHAMA Bali OPERA.....
HASWAHistorical Mistake Waliofanya Ccm Ni Kununua Makapi Na Kuacha Kununua Wapiga Kura
Acha ujinga, usitumie rejea za wajinga!
Hata ya mavi ya kale Yana harufu! Unazijua mparanganyiko uliopo sebuleni kwa ccm? Kwa kuanzia hesabu watia Nia kutoka visiwani Zanzibar Kisha useme idadi hiyo inaashiria nini! Huku bara Mambo siyo shwari kihivyo kwani sakata la membe liliipasua nec yenu Hadi wengine mkawalisha sumu! Fomu moja ya mgombea nayo imeleta sintofahamu na huenda wakamsusia ajipitishe mwenyewe!Ubongo wa mnyama NYUMBU ni mdogo sana HURITHISHA MAKOSA YA BABU ZAKE KWA WAJUKUU ZAKE....
Mwezi wa 7 KIPINDI Cha mfungo wa ramadhani ya mwaka 2014 pale WHITE HOUSE jijini DODOMA, 70% ya wajumbe wa NEC ya CCM WALISHINDWA KUMUOKOA MH.LOWASSA ASICHINJWE NA KISU CHA BAMBARA hatimaye akapokekewa CDM and the REST WAS HISTORY.....
Itakuwa mh.Membe?😂😂😂😂😂
Hata ya mavi ya kale Yana harufu! Unazijua mparanganyiko uliopo sebuleni kwa ccm? Kwa kuanzia hesabu watia Nia kutoka visiwani Zanzibar Kisha useme idadi hiyo inaashiria nini! Huku bara Mambo siyo shwari kihivyo kwani sakata la membe liliipasua nec yenu Hadi wengine mkawalisha sumu! Fomu moja ya mgombea nayo imeleta sintofahamu na huenda wakamsusia ajipitishe mwenyewe!
Yapo mengi yanayokwenda kumkwamisha huyo yesu wenu kwani takwimu za polepole za 70% ndani ya ccm siyo poa na bado watu wanaendelea kulishwa sumu ili wamtapike! Karibu jf!
UJINGA wa LIJUALIKALI ilikuwa kuhoji MATUMIZI YA MAKATO YA MSHAHARA WAKE baada ya KUTORIDHISHWA na MAELEZO.....
UJINGA wa LIJUALIKALI ilikuwa kuhoji KUTOTAARIFIWA NA KUTOHOJIWA kabla ya kufukuzwa CHAMA.....MEMBE YEYE ALIONYWA NA KUHOJIWA TOKA 2014 NA HII MARA YA MWISHO kabla hajawa mbwabwaji ASIYE NA CHAMA....
Kakaaaa Karibu FARU JOHN ya mwenyeeekitiakeeeeeee!!!
Bado anaendelea kujiliza?LIJUALIKALI alisema CDM si CHAMA Bali OPERA.....
Ubongo wa mnyama NYUMBU ni mdogo sana HURITHISHA MAKOSA YA BABU ZAKE KWA WAJUKUU ZAKE....
Mwezi wa 7 KIPINDI Cha mfungo wa ramadhani ya mwaka 2014 pale WHITE HOUSE jijini DODOMA, 70% ya wajumbe wa NEC ya CCM WALISHINDWA KUMUOKOA MH.LOWASSA ASICHINJWE NA KISU CHA BAMBARA hatimaye akapokekewa CDM and the REST WAS HISTORY.....
Itakuwa mh.Membe?![]()
Hata ya mavi ya kale Yana harufu! Unazijua mparanganyiko uliopo sebuleni kwa ccm? Kwa kuanzia hesabu watia Nia kutoka visiwani Zanzibar Kisha useme idadi hiyo inaashiria nini! Huku bara Mambo siyo shwari kihivyo kwani sakata la membe liliipasua nec yenu Hadi wengine mkawalisha sumu! Fomu moja ya mgombea nayo imeleta sintofahamu na huenda wakamsusia ajipitishe mwenyewe!
Yapo mengi yanayokwenda kumkwamisha huyo yesu wenu kwani takwimu za polepole za 70% ndani ya ccm siyo poa na bado watu wanaendelea kulishwa sumu ili wamtapike! Karibu jf!
Ubongo wa mnyama NYUMBU ni mdogo sana HURITHISHA MAKOSA YA BABU ZAKE KWA WAJUKUU ZAKE....
Mwezi wa 7 KIPINDI Cha mfungo wa ramadhani ya mwaka 2014 pale WHITE HOUSE jijini DODOMA, 70% ya wajumbe wa NEC ya CCM WALISHINDWA KUMUOKOA MH.LOWASSA ASICHINJWE NA KISU CHA BAMBARA hatimaye akapokekewa CDM and the REST WAS HISTORY.....
Itakuwa mh.Membe?![]()
Bado anaendelea kujiliza?
Kamshauri aende kwao haraka, akaanze kupambana kusaka ubunge, wakati wa maigizo uliishakwisha.
Alikoenda waliyonunuliwa hawana nafasi, watauchungulia uteuzi dirishani.
Leo ni siku yako ya tatu hapa JF.Muuigizaji mkuu ni mh.mwenyekitiake,fundi wa FARU.....!!
Kuelekea October kuna maingizo mapya kupitia chakubanga