03 November 2020
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora, kimetoa hadi mwishoni mwa wiki hii,wasaliti wote ndani ya chama wawe wemeorodheshwa na majina yao kupelekwa ofisi ya wilaya kwa hatua zaidi.
Katibu wa CCM wilaya ya Tabora Nicolaus Malema akizungumza wakati wa kiwashukuru wananchi na wanachama wa chama hicho huku akiwa amekaa chini, amesema chama kinapaswa kujisafisha kwanza kabla ya kuwashughulikia wa nje ya chama.
Amewataka madiwani na mbunge kutoa utumishi uliotukuka kwa wananchi huku akiwaonywa madiwani wasiowajibika kuwa hawatamaliza miaka mitano.
Chama hicho wilaya ya Tabora, katika kimewashukuru na kuwapongeza wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kukipatia ushindi chama hicho.
Chanzo: Mwananchi digital
CCM WILAYA YA TABORA IMETOA WIKI WASALITI WOTE NDANI A CHAMA WAWE WAMEORODHESHWA