CCM wavunja record ya UKAWA, ni el ninyo

CCM wavunja record ya UKAWA, ni el ninyo

1440392153171.jpg
 
This is very stupid.

Sijawahi kuona wizara au kampuni inasukumia matatizo/uchafu wake ikulu. Hii inakuonyesha wazi ni jinsi gani raisi na wapambe wake walivyohusika. Wananchi inabidi tuamke. Hii sio amani kwani hata hiyo kodi ambayo inakusanywa kutokana na uzalishaji haipo tena. Inabidi raisi ajiuzulu na serikali yake yote. Huu uchafu hatuuwezi kabisa kwani tutaishia kuwa kama Haiti.

This is just unbelievable. We don't have leadears, we have followers.
Umenivunja mbavu! Dah kumbe ndivyo wanavyofanya hv
 
Kilichofanya ule umati uonekane kama una watu wengi ni kuweka viti almost nusu ya uwanja, lakini pia waliokuwa wamesimama waliacha "barabara" katikati yao. Ulikuwa unaona kabisa wauza karanga na maji wanakimbia huko katikati.

Watu waliokuwepo jangwani jana hawawezi fikia hata 75% ya watu waliokuwepo Mbeya last time alipoeanda kutambulishwa Lowassa, sembuse nyomi za Slaa huko nyuma...
 
Mafuriko ya kuokoteza watu? Mngeacha waje wenyewe kama kwenye mikutano ya UKAWA muone kama wangefika 50!
 
Ukweli ni kwamba jana ile ilikuwa fiesta, kwenye mikutano ya cdm hakuna mambo ya kualikana na kulipana, watu wanaomba ruksa kazini, wengine wanafunga biashara zao, hakuna kujaza viti uwanjani na hata ukimwangalia mtu usoni unaona anashiriki mkutano kikamilifu na ana hamasa ya kutosha, pia hakuna khanga wala kofia za bure, Jana Robo tatu ya watu hawakuwa pale kiakili, walikuja kuwaangalia wasanii tu na kuondoka.
 
Tofauti yake ni kwamba tukio la jana lilikuwa bonanza la fiesta, wakati mafuriko ya ukawa ni matukio ya kisiasa.

Kwanj ugumu uko wapi kama ni rahisi si na nyie muandae alafu tuone, tuliwaacha mkatangulia sasa mnaleta kujua ..hapa mtaisoma namba na tayari tumewasha injini zetu kama mnaweza fateni nyuma ..tumewatumia salamu na mkitaka kuiga igeni kunya kwa tembo
 
Mimi hata kama ccm wangekuwa na Elinino, Ikumbukwe pale kuna Rais ana ule Msafara wake na watu ambao hawajawahi muona live.

Mkapa kuna watu ambao nao walikuwa hawamjui na msafara wake

Mwinyi hivo hivo

Wasanii wanaolipwa na wako pale kikazi na washabiki wao na walioenda kufanya mapumziko weekend

Kuna wakuu wengine wa Nchi ambao nao watu hawafaham kama Baadhi ya Mawaziri na wapambe wao na walioenda kuwaona na ambao hawawafaham

Kuna walioenda kikazi pale kama ma pick pockets

Kuna walioenda kujua ni wakina nani wameifikisha Tanzania kwenye Umaskini mkubwa namna hii na Nchi ina Mali zote hizi?

So Na wote wale wanapigana na mtu mmoja. CCM hamshtuki WANANCHI ili waende lazima uwachukue wasanii?

Asante

hakika umenena yale yaliyo mema na yenye uhakiki!
 
Kumbuka na watu waliambiwa wakumbuke namba za malori waliyokuja nayo ili wasipate taabu wakati wakurudishwa. Sio wewe umetoka Mkuranga kisha ukapanda lori la kurudi Bagamoyo, itakula kwako.
View attachment 279743

Gazeti la Nipashe linaripoti gharika, ccm yavunja rekodi ya wingi wa watu katika mikutano yao yote waliyo wahi kuifanya
 
Gazeti la Nipashe linaripoti gharika, ccm yavunja rekodi ya wingi wa watu katika mikutano yao yote waliyo wahi kuifanya

Wamevunja rekodi ya mikutano ya ccm elewa ndio garika kwao ila garika aiwezi kuwa na viti vya kukaa na
 
Mapumbafu na ma lofa watasema hii nyomi yote itapiga kura,lakini ile nyomi ya ukawa ni malofa na wapumbafu hawajajiandikisha kupiga kura,huo ni upumbafu na ulofa.Samahani kwa kuandika"Upumbafu"natokea kaskazini.
 
NEC awatangazi mshindi kwa kuzingatia umati....watu walikuwa wengi kweli...UDA zilisomba ndiyo, maroli sina uhakika...ila kikubwa waliosombwa ni wanachama....niliona zile gari zimeandikwa majina ya kata...si mbaya kama watu watajiorganize kikata wakapanda gari zao kwenda mkutanoni na baadaye kureejea nyumbani kwao..UKAWA wakifanya same itapendeza sana kikubwa ni kupiga kura tu...madai ya kusomba watu ni UPU....MBAVU na ULOFA...sijaona tukipewa pesa pale...
 
Mimi hata kama ccm wangekuwa na Elinino, Ikumbukwe pale kuna Rais ana ule Msafara wake na watu ambao hawajawahi muona live.

Mkapa kuna watu ambao nao walikuwa hawamjui na msafara wake

Mwinyi hivo hivo

Wasanii wanaolipwa na wako pale kikazi na washabiki wao na walioenda kufanya mapumziko weekend

Kuna wakuu wengine wa Nchi ambao nao watu hawafaham kama Baadhi ya Mawaziri na wapambe wao na walioenda kuwaona na ambao hawawafaham

Kuna walioenda kikazi pale kama ma pick pockets

Kuna walioenda kujua ni wakina nani wameifikisha Tanzania kwenye Umaskini mkubwa namna hii na Nchi ina Mali zote hizi?

So Na wote wale wanapigana na mtu mmoja. CCM hamshtuki WANANCHI ili waende lazima uwachukue wasanii?

Asante

Dash safi sana pick pockets
 
Jamani labda kama macho yangu yananidnganya, ila sikuona nyomi ya watu pale jangwani nikilinganisha na mbeya au mwanza..........gharika gani watu wamekunja nne kwenye viti.
 
UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.

Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu Kwa kusema hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI STUPIDITY, LACK OF KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.

Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo

1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.

2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.

3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM.

4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja.

5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani.

6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.

7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea ajenda ya siri iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na 2012 kusimamia na Mpumbavu Joshua Nassari.

8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi ya uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani Prof. Lipumba na Dr. Slaa.

9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.

10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali kuburuzwa kama "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka lini? Slaa, Mbowe, Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na 2015.

Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa kushindwa kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa walanguzi kumpeleka Lowasa ikulu.

Acha kuwa mpumbavu na lofa.

UKAWA NI

U - UMOJA
KA - KAMILI WA
WA - WAPUMBAVU

KARIBU CCM MPE KURA YAKO MAGUFULI
#TEAM TINGATINGA
#HAPA KAZI TUUU
#SITAWAANGUSHAA
#MAGUFULI 💚💚✅✅
#CCM ✅✅✅✅

UMOJA NI USHINDI UNGANA NA CCM TEAM YA USHINDI

BY MTANZANIA MZALENDO
INNOCENT MBILINYI MAGUFULI
MTOTO WA SAMIA SULUHU NA MJUKUU WA DR SHEIN PIA NI KITUKUU CHA CCM IMARA NA ZALENDO.

#TUKUTANE OCTOBER 25
 
Kumbuka na watu waliambiwa wakumbuke namba za malori waliyokuja nayo ili wasipate taabu wakati wakurudishwa. Sio wewe umetoka Mkuranga kisha ukapanda lori la kurudi Bagamoyo, itakula kwako.
View attachment 279743
hahahaahaaaa dah kweli magamba akili zao zipo kwenye vijambio yaani pamoja na kuzomba moram zinazotembea kwa malori hawafikia hata nyomi ya zanzibar wataisoma number mwaka huu na wasubirie sasa mziki weu mbona watajutraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom