CCM wavunja record ya UKAWA, ni el ninyo

CCM wavunja record ya UKAWA, ni el ninyo

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Kiukweli watu waliojitokeza katika mkutano wa CCM umevunja record nipashe wameita gharika ila mm naona ni elinino.
Hoja ya nyomi mikutanoni sasa sio hoja mafuriko yamejibiwa na mvua za elnino
 
Kwa kusombwa na malori kama kokoto
 
Attachments

  • 1440390249582.jpg
    1440390249582.jpg
    32.5 KB · Views: 747
Tofauti yake ni kwamba tukio la jana lilikuwa bonanza la fiesta, wakati mafuriko ya ukawa ni matukio ya kisiasa.
 
wamezidi ya UKAWA kwani UKAWA KAMPENI WAMESHAANZA?. CCM WENYEWE WANATETEMEKA WANAJUA UKAWA WATAKUWA WENGI ZAIDI YAO.
 
Watu sikigezo nashangaa watukwenda mikutanoni inakuwa ndio hoja ni upuz
 
Mimi hata kama ccm wangekuwa na Elinino, Ikumbukwe pale kuna Rais ana ule Msafara wake na watu ambao hawajawahi muona live.

Mkapa kuna watu ambao nao walikuwa hawamjui na msafara wake

Mwinyi hivo hivo

Wasanii wanaolipwa na wako pale kikazi na washabiki wao na walioenda kufanya mapumziko weekend

Kuna wakuu wengine wa Nchi ambao nao watu hawafaham kama Baadhi ya Mawaziri na wapambe wao na walioenda kuwaona na ambao hawawafaham

Kuna walioenda kikazi pale kama ma pick pockets

Kuna walioenda kujua ni wakina nani wameifikisha Tanzania kwenye Umaskini mkubwa namna hii na Nchi ina Mali zote hizi?

So Na wote wale wanapigana na mtu mmoja. CCM hamshtuki WANANCHI ili waende lazima uwachukue wasanii?

Asante
 
Hahahaha ha ha hah ccm ni mikundu tyuu subirini ukawa ni obamaaaaaa vile nyomi itakua kubwa kutakua na ufufuo na uzima mtume muhamad atakuepo hap bilali akifufukaaaa
 
Subiri siku ya uzinduzi wetu ndio utaweza kusema kama ni el nino au gharika. hatuongei tunatenda. Tanzania bila ccm inawezekana oktoba 25
Kiukweli watu waliojitokeza katika mkutano wa CCM umevunja record nipashe wameita gharika ila mm naona ni elinino.
Hoja ya nyomi mikutanoni sasa sio hoja mafuriko yamejibiwa na mvua za elnino
 
Hahahaha ha ha hah ccm ni mikundu tyuu subirini ukawa ni obamaaaaaa vile nyomi itakua kubwa kutakua na ufufuo na uzima mtume muhamad atakuepo hap bilali akifufukaaaa

Mitume imeusika mini hapo? acha kufuru were!
 
Kiukweli watu waliojitokeza katika mkutano wa CCM umevunja record nipashe wameita gharika ila mm naona ni elinino.
Hoja ya nyomi mikutanoni sasa sio hoja mafuriko yamejibiwa na mvua za elnino

Kumbuka na watu waliambiwa wakumbuke namba za malori waliyokuja nayo ili wasipate taabu wakati wakurudishwa. Sio wewe umetoka Mkuranga kisha ukapanda lori la kurudi Bagamoyo, itakula kwako.
ImageUploadedByJamiiForums1440392029.646175.jpg
 
Kuna gharika inakaa kwenye viti wewe mwanza akukua na kiti wala nini na watu walikuwa wanasukumana mbeya pia arusha pia akukua na viti wala wasanii wowote ngoja muuone kama maandamano mlizuia kuogopa watu sasa ngojeni muone mziki wa ukawa tukizindua kampeni
 
Back
Top Bottom