fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Kinaibiwa kinachoibika, tujilaumu wenyewe kwa kuibika kwetu
Kinaibiwa kinachoibika, tujilaumu wenyewe kwa kuibika kwetu
Washtaki kwenye tume ya uchaguzi
Hebu fafanua crashwise. Mkulima akija na kitambulisho cha mpiga kura ili apate pembejeo, anaacha kitambulisho hicho au anarudi nacho nyumbani kwake? Nifafanulie hapo nielewe hii mbinu ya ukoo wa panya.
Watu hawaangalii hata tangazo líná tarehe gani. JF sometimes tunakuwa mijinga fulani hiviHa haa, sawa kabisa. Au awambie CHADEMA nao waweke tangazo lao kama hilo ambalo wataona linweza kuwa ni wizi wa kura.
kwano thread nimeanzisha saa ngapi? je wewe siyo mchangiaji au umechanganyikiwa...
anakiacha kama dhamana...Hebu fafanua crashwise. Mkulima akija na kitambulisho cha mpiga kura ili apate pembejeo, anaacha kitambulisho hicho au anarudi nacho nyumbani kwake? Nifafanulie hapo nielewe hii mbinu ya ukoo wa panya.
Mbona unajitetea kichovu kiasi hicho au umebandika Tangazo mwenyewe na kulipiga picha?kwano thread nimeanzisha saa ngapi? je wewe siyo mchangiaji au umechanganyikiwa...
Ndio maana Judith Wambura akasema 'ukiwaona utadhani watu....'yaani hawa ni majambazi tofauti yao na wale majambazi wengine ni kwamba wao wanavaa suti..
Ukikua kijana mdogo Kama wewe utakuwa mchawi kabisa ndio maana hakuna mchangiaji!
Sasa hayo ni mipango ya wana Kalenga katika kuthibiti voucher zao!
simple logic na common sense inasema mabasi yanabeba watu wengi zaidi kwenda Mkutanoni, kusikiliza sera za mbunge wao mtarajiwa.View attachment 142276
Bus likiwa limejanza watu kuwapeleka kwenye mkutano wa ccm huko kalenga...
View attachment 142278
Mgimwa alisha malizwa siku nyingi na watu wakaanza maandalizi akiwemo Kandoro...chezea magamba wewe unabisha kamuulize mwakyembe aliye hongwa uwaziri baada ya kukoswakoswa na yeye...Tangazo ni la Tarehe 5/12/2013. Mgimwa alifariki lini? Tume ya uchaguzi ikatangaza tarehe ya uchaguzi lini? Kampeni zilianza lini? Je tangazo kama hilo liko Jimbo la KALENGA pekee ambalo lina uchaguzi?
Najiondokea hizi mada zinazoanzishwa na watu wanaofikiria kwa kutumia MA.------