K Kompis Member Joined Sep 3, 2012 Posts 69 Reaction score 4 Mar 1, 2014 #81 jamani kwani hamjui mabasi ya UPENDO William Lukuvi ana hisa kubwa kwenye hiyo kampuni?
E Elizabeth Dominic Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 4,555 Reaction score 3,658 Mar 1, 2014 #82 Ally Kanah said: View attachment 142323 Kweli ni aibu hasa ukichukulia haya matokeo ya jimbo la Hai kwa Kamanda mpigaji mkuu Click to expand... CCM wametumia mabasi kusomba watu baada ya kukatazwa kusomba watu kama mifugo kwenye fuso. Hii ni aibu
Ally Kanah said: View attachment 142323 Kweli ni aibu hasa ukichukulia haya matokeo ya jimbo la Hai kwa Kamanda mpigaji mkuu Click to expand... CCM wametumia mabasi kusomba watu baada ya kukatazwa kusomba watu kama mifugo kwenye fuso. Hii ni aibu
Leomimi JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 2,547 Reaction score 874 Mar 1, 2014 #83 Wanachama wa cdm wanatosha kwenye m4c zenu lkn ccm lazima magari makubwa ni wengi ssanaaa