CCM watumia mabus ya Upendo kusomba watu

CCM watumia mabus ya Upendo kusomba watu

Basi kusomba CCM 1..jpg
Bus likiwa limejanza watu kuwapeleka kwenye mkutano wa ccm huko kalenga...
Basi kusomba CCM 2..jpg
 
Bora siku hizi yanabebe kwa mabus siyo kwa malori...

Mwingereza laana inammaliza
 
haaaa! Rpc kazuia malori sasa wamekuja na mabasi hakika wangekuwa wasikivu hivyo kwenye mambo ya muhimu tungekuwa mbali.kweli jamaa ni wasikivu wamemsikia Rpc vizuri kabisa
 
haaaa! Rpc kazuia malori sasa wamekuja na mabasi hakika wangekuwa wasikivu hivyo kwenye mambo ya muhimu tungekuwa mbali.kweli jamaa ni wasikivu wamemsikia Rpc vizuri kabisa

kumbe ni kazi ya RPC...
 
Ccm ni sikio la kufa litasikia kwa Mungu tu
 
Hii ni moja ya mbinu tulizozibaini ambazo zinatumika kukusanya vitambulisho vya kupigia kura. Tangazo hili la vocha za mbolea ya ruzuku lilikuwa limebandikwa kwenye ofisi ya Mtendaji wa Kijiji cha Igula (just a case study), ni hali ambayo iko maeneo mengi jimboni Kalenga tangu uchaguzi ulipotangazwa. Mgombea Tendega Grace amekuwa akilikemea hilo baada ya wananchi kumpatia malalamiko yao.
View attachment 142285
View attachment 142286
 
Kadi ya kupiga kura inahusiana vipi na pembejeo?
Usanii wa ajabu kweli
 
Ccm ni wapuuzi sana. Tume ya uchaguzi inatakiwa kukemea jambo hili. Huu ni ukiukaji wa sheria za uchaguzi!
 
Ukikua kijana mdogo Kama wewe utakuwa mchawi kabisa ndio maana hakuna mchangiaji!

Sasa hayo ni mipango ya wana Kalenga katika kuthibiti voucher zao!
 
Ukikua kijana mdogo Kama wewe utakuwa mchawi kabisa ndio maana hakuna mchangiaji!

Sasa hayo ni mipango ya wana Kalenga katika kuthibiti voucher zao!

kwano thread nimeanzisha saa ngapi? je wewe siyo mchangiaji au umechanganyikiwa...
 
Ukikua kijana mdogo Kama wewe utakuwa mchawi kabisa ndio maana hakuna mchangiaji!

Sasa hayo ni mipango ya wana Kalenga katika kuthibiti voucher zao!

Maccm mbinu zenu za kiharamia zinajulikana
 
Maccm mbinu zenu za kiharamia zinajulikana

Hata ukija kwetu pembejeo unapata baada ya kuonesha kitambulisho cha mpiga kura!

Inasaidia sana kuthibiti Wizi wa pembejeo na walengwa wakinufaika kwa kiwango kikubwa
 
Hebu fafanua crashwise. Mkulima akija na kitambulisho cha mpiga kura ili apate pembejeo, anaacha kitambulisho hicho au anarudi nacho nyumbani kwake? Nifafanulie hapo nielewe hii mbinu ya ukoo wa panya.
 
Back
Top Bottom