Mabomu yanapigwa sasa hivi hapa Dom. Kuna vijana walikuwa wanaimba tuna imani na Lowassa wako wanapata kipigo!!1
Kwa mtu mwenye akili timamu jambo hili hawezi kunibishia.Television nyingi walitutangazia watakuwa live leo jumamosi na walitutangazia week moja kabla,cha kushangaza mpaka sasa hivi zote kimya.Hata hizo link za live stream tulizopewa zote ni bosheni tu,kuna jambo limejificha hapa msiwafanye watanzania ni wajinga.

wapigwe tu tumechoka maana hakuna namna maana tumechokaMabomu yanapigwa sasa hivi hapa Dom. Kuna vijana walikuwa wanaimba tuna imani na Lowassa wako wanapata kipigo!!1