CCM wapata wabunge 10 kabla ya uchaguzi mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wapata wabunge 10 kabla ya uchaguzi mkuu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MAMA POROJO, Aug 20, 2010.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Leo katika kipindi cha Jahazi cha redio clouds mtangazaji Kibonde amesema CCM imepata wabunge 10 waliopopita bila kupingwa katika majimbo 10 nchini. leo ndio siku ya kwanza ya kampeni je wapinzani watafika salama. Hii ni ishara kwamba CCM bado ina nguvu kwani sio jambo la kawaida kwa vyama vya siasa 18 nchini kushindwa kutoa upinzani wa kweli. Mwalimu Nyerere alishasema hakuna haja ya kukimbilia Ikulu kabla ya kuimarisha chama ngazi ya chini. Chadema kinaonekana kupyaya kwa kuwa ndicho kinaonekana kuwa na nafuu lakini kimefungwa 10 kwa 0 siku ya kwanza ya kampeni. Hii ni ishara ya ushindi wa kishindo kwa CCM ifikapo 2010.
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Duh! kama haya kweli basi hii inaweza kuwa gharama kubwa kwa upinzani.... Na hakika, Upinzani bado hawajajiandaa vya kutosha!
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Pipijojo,
  Umeshawahi kuangalia mbio za marathon? Kuna jamaa wanachapuka wanaongoza katika duru za mwanzo lakini mbio zinapokaribia kumalizika
  wale magwiji wa mbio hizo ndipo wanajitokeza na kuchukua nafasi tatu za juu.
   
 4. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kiukweli ni marathon ya aina yake,kwani chadema watapewa kombe la makelele na fitina ushindi kwa c.c.m tena wakishindo!
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tusiandikie mate!
   
 6. thetowerofbabel

  thetowerofbabel Senior Member

  #6
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 17, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  naona watu bado hawajachoka na umaskini wa tanzania..............sijui wanzania walikulaga nnn??????? kuta mtu anatoa maoni utafikiri kapewa ganzi kabla ya operation na kunza kuongea maneno yasiyo endena na wakati huo.........mjue kuwa kila kitu huwa kinahitaji challenge ili madiliko yatokee..poleni sana watz
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,844
  Likes Received: 11,962
  Trophy Points: 280
  Mwaka huu wabunge 10 wa CCM wamepita bila kupingwa linganisha na mwaka 2005 zaidi ya wabunge 60 wa CCM walipita bila kupingwa.
   
 8. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280

  watu kwa mahope, teh teh teh

  CHADEMA wakifikisha wabunge 10 wakuchaguliwa, watakua wamefanya shuguri pevu.
   
 9. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  naunga mkono hoja
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  hoja ipi?
   
 11. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kuna mabadiliko makubwa yamefanywa na vyama vya upinzani mwaka huu kuliko mwaka 2005, tatizo ni kwa wajinga wachache wasioona ukanadamizaji wa CCM kwa demokrasia, Sijui watz wateseke kiasi gani ndipo washtuke. CCM wamefanya vyakutosha kutufanya kuwa maskini kama nchi lakini wapi kuna wajinga wengi wasioona hayo ya CCM, zaidi ya kusifia upuuzi wa CCM.

  Ebu jihurumieni wenyewe
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Stop having false hopes! CCM will continue to have a super majority in parliament...that's the bitter truth...
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hey, whose side are u on?
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  It doesn't matter whose side I'm on. I'm just being realistic here....
   
 15. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  For a man who never gave Obama a chance, he's sure quick to open his can of jam before he realizes he has no bread ! Who'd envy such a person ? LOL
   
 16. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,477
  Likes Received: 1,214
  Trophy Points: 280
  Kuna baadhi ya maeneo watu bado wamelala usingizi mikoa hiyo sijui haina wasomi au haina watu wa kugombea anyway inawezekana wagombea wamenunuliwa na ccm
   
 17. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Deep down I knew O'Bummer would win coz '08 was the Democrats' year and people were tired as hell with the GOP.

  Deep down, you, Jasusi, and others know that CCM will win in a landslide and will maintain their super majority in parliament. Unabisha?
   
 19. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Kwanza asante kwa hiyo sifa halafu huo ukweli ni upi ? Kuintateini sides ? Isn't that what you are doing here ?

  Mapambano, for its name, must have sides - ama unapenda umasikini au unauchukia, which is which ?
  Usipoagyu kivyama, utaagyu kivipi. Nilifikiri kwenye uchaguzi ni vyama vinashindana !

  Hey, what are you doing here ? Kwanza chama chako kikuchukie ? na nani kasema kuna mtu anawachukia watanzania.

  Hao watu tutawapataje kama si kutokana na vyama. Huyo NN anaefesi reality ataleta ukombozi wapi na lini

  CCM imekaa madarakani miaka karibu hamsini - ama unaisifu ama unaikosoa kwa iliyofanya, sasa taabu liko wapi?

  Chadema haijawahi kukaa madarakani hata siku moja - utaisifu ama kuikosoa kwa lipi ? Kukuomba uipe nafasi ya kufanya ama unakosoa ilani yake na kwa lipi, hebu tuambie ?

  Kwapani naona ni wewe unayeshindwa kufesi reality, pole sana.
   
 20. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  :confused2::confused2:ccm end itsi pipo iz dhe neshono dizasta, wi hevu tu ovakamu iti endi themu
   
Loading...