GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ila Samia ananifurahisha sana na tule tumashavu twake amekazana tu kuchuja wenzake hivi hawazi kuhusu yeye! Yaani kila nikimwangalia na kumtathmini nabanwa na kicheko. Mama Samia nakushukuru sana maana umetokea kunifurahisha sana.
Hili furushi tulionewa sana kulitwishwa.
Hamna mtu hapo anaendeshwa na mafisadi watafune nchi tu
 
Back
Top Bottom