CCM wanaogopa sana haki kwanini?

CCM wanaogopa sana haki kwanini?

Kachina95

Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
49
Reaction score
143
Tumefikia mahala watawala kutoka CCM hakuna kitu wanaogopa kama haki.
Wako tayari kuteka, kuua ama kupoteza watu ili kuzuia haki.

Tumefikaje hapa?
Hali itakuwaje kama wataendelea kutawala miaka 15 au 20 ijayo?
Kwanini hawataki kabisa haki itamalaki hapa nchini?
 
Wana hofu labda na anguko lao
 
Hadi Watanzania wengi watakapokuwa na akili ndio haki itakwepo.
Hebu anagalia jinsi chadema walivyochagua mwenyekiti na makamu wake wasio na busara na hekima hata kidogo. Full kuropoka na ubabe usio na maana Ukiruhusu haki unaweza shangaa bunge linakuwa na 50% ya watu jamii ya akina mdude nyangali ambao wao kutukana viongozi ambao ni Sawa na wazazi wao hawaogopi.
 
Giza halijawahi kutamani kuwe na nuru...
 
Tumefikia mahala watawala kutoka CCM hakuna kitu wanaogopa kama haki.
Wako tayari kuteka, kuua ama kupoteza watu ili kuzuia haki.

Tumefikaje hapa?
Hali itakuwaje kama wataendelea kutawala miaka 15 au 20 ijayo?
Kwanini hawataki kabisa haki itamalaki hapa nchini?
Tumefika hapa tulipo kwasababu ya unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, (self-absorbed group)

Vile vile wanyama nyumbu huongozana kwenye msafara wa kundi lao bila kuangalia hatari watakayo kutana nayo huko mbele, (no SMART goals settings), kama vile makolongo na kupita kwenye mito yenye mamba wenye njaa Kali hata wakiwaona hao mamba watapita bila kujali watakao jeruhiwa ama kuliwa na mamba hao wenye njaa Kali, (kuahirisha kufikiri kwa nafsi)
 
Tumefikia mahala watawala kutoka CCM hakuna kitu wanaogopa kama haki.
Wako tayari kuteka, kuua ama kupoteza watu ili kuzuia haki.

Tumefikaje hapa?
Hali itakuwaje kama wataendelea kutawala miaka 15 au 20 ijayo?
Kwanini hawataki kabisa haki itamalaki hapa nchini?
Hawana amani kbs chadema wakitaka jambo tena kisheria wanatoka na mapanga, hivyo bas hawana amani cz sio watu watu wa haki. Maandiko yanasema mweny haki ataishi kwa imani!!
 
Back
Top Bottom