CCM wanaandamana Dodoma

CCM wanaandamana Dodoma

kimboka one

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2010
Posts
734
Reaction score
85
kweli hali mbaya ccm wanaandamana hapa dodoma wapo kame 50,wanatembea kama watu waliyokata tamaa kabisa,wengine wanaficha sura kama vile wamelazimisha.masikini CCM!
 
toa habari kamili wanaandamana kwa sababu gani .............. maana wao si walishasema maandamano siyo sera yao
 
hebu dadavua, what do they want??
 
Bila shaka wanamlaani M/kiti wao kwa kuwa kila leo yupo angani anafly tu.
 
kweli hali mbaya ccm wanaandamana hapa dodoma wapo kame 50,wanatembea kama watu waliyokata tamaa kabisa,wengine wanaficha sura kama vile wamelazimisha.masikini CCM!

maandamano ya uvccm wanaandamana kupinga kauli za uchochez zinazotolewa na vyama pinzani
wanasema hakunaga kama Ccm!!
Vijana wa bodaboda naona wasaidia kuamsha amsha lakn watu wachache
kitu ambacho nimeshangaa sjaona FFu na Mabomu ya machoz
mbona maandamano ya CDM naonaga FFU??
 
Nawaletea picha mda wowote wakionekana tena
wakati wanapta nilikuwa nimebanwa kidogo!
 
Wanalaani mfumuko wa bei au??

Thubutuu wajihukumu!!
Wanasema vijana tuamke tujiiunge ccm chama ambacho kinatetea wananchi
kinasimamia sera zake!
Tuamke na tupinge vyama pinzan vyenye kauli za uchochez
kwahyo wanaandamana barabara zote za Dom mjin!
 
Wanalaani kauli ya CHADEMA Arusha juu ywa kuigawa nchi –Kanda ya ziwa na mikoa ya kaskazini.Lakini pia wanampongeza Rais Jk kwa kuunda upya baraza la mawaziri.
 
mkuu weka picha tuone. je wanao andamana ni viongozi wa kitaifa au nyumba kumi? Bora uwafuate sasa hivi uwapige picha kabla hawajapewa marupurupu coz wakishapewa watarudi wanacheka.
 
Ni Umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Dodoma ndio wanaoandamana
 
.....hebu nikumbusheni mikoa maskini kwenye nchi yenye mazima,matunda na asali,..!
 
nini sababu yao kuandamana...hivi hawana kazi za kufanya za kuleta maendeleo???
 
maandamano ya uvccm wanaandamana kupinga kauli za uchochez zinazotolewa na vyama pinzani
wanasema hakunaga kama Ccm!!
Vijana wa bodaboda naona wasaidia kuamsha amsha lakn watu wachache
kitu ambacho nimeshangaa sjaona FFu na Mabomu ya machoz
mbona maandamano ya CDM naonaga FFU??
Chadema inatishia amani lakini CCM inaua kabisa nani hatari zaidi....
 
Hatukuwaona kuandamana baada ya ripoti ya CAG kutolewa,serikali ya majambazi wezi wanaishangilia,chama kimepoteza dira mvuto wanashangilia,Lusinde,Raisi Mkapa,Ole sendeka matusi hatukuwaona,Wabunge wa chadema kucharangwa mapanga na makada kuuawa hatujawaona hao ni majuha wa nchi hii
 
kweli hali mbaya ccm wanaandamana hapa dodoma wapo kame 50,wanatembea kama watu waliyokata tamaa kabisa,wengine wanaficha sura kama vile wamelazimisha.masikini CCM!

Wanaandamana kwenda wapi? Mazikoni?
 
Back
Top Bottom