Mtu ashiñdeje?
Je atasaidiaje nchi??
Hamuoni mambo mengi Mr Amefanya .
1.Barabara nyingi nzuri tokea kijijini mpaka mjini.
2.Huduma za afya , shule , maji.
3.nyumba za wafanyakazi wa serikali.
4.Majengo ya serikali mapya .
5.Kuongeza mishara kwa sekta mbalimbali za serikali.
Kama mapolisi,wanajeshi,waalimu , madaktari na nesi .
Mapolisi na wanajeshi walikuwa hawaishi kwa raha kisa kipato nikidogo.
6.Kuongeza vifaa vya hospitali ikiwemo vitanda na magodoro,blanketi na vifaa vingine vingi.
Kusikiliza wanyonge nakutekeleza shida zao nilini nani kawasikiliza wananchi??
Kiasi cha kufukuzwa hadi maaskari, wakuu wa wilaya kisa wananchi wanyonge.
Nyie wanadamu hamnaga shukurami na mtabakia na lawama zenu.
Fadhila hailipwi na nyie.
Tatizo lakumchukia mzee ni hili .
1.Anawatoza kodi
2.mnahakikishwa wafanyabiashara hamkwepi kodi na mna vyeti halali ya kumiliki biashara .
HILI SUALA NDIO MNAMCHUKIA POLENI KWA MAANA MIAKA MINGINE 10 NI YAKE.