CCM wamgeuka RC Arusha: WADAI AMEMWONGEZEA UMAARUFU LEMA, CHADEMA

Tishio hili nadhani haliishii kwa waandishi wa Tanzania tuu,bali hata wale wa vyombo vya habari vya nje kama BBC,CNN nk. Jee vyombo hivyo mbona haviweki wazi tishio hili kwa uhuru wa habari katika vyao?
Wakati umefika sasa hao wawakilishi wao walipeleke hili kwenye vyombo vyao huko nje haraka kabla hizo roho zao hazijawa rehani.
 
Yule RC ni mjinga. Yule angeishia kuwa afisa mtendaji kata ukuu wa mkoa unampwaya!
 
“Unapoingia katika mkakati wa kudhalilisha kiongozi wa serikali unakuwa umeiweka roho yako rehani, kuweni makini,” alisema.

Haya maneno ni mazito sana na yana viashiria vya kuteswa na kuuawa kwa waandishi wa habari hapa nchini. Atatuambiaje

asante mAgEsSa,ukichanganya na stori ya wassira unapata mantiki
 
0752960276 ni namba ya Magesa Mulongo. Tatizo alisahau kuwa aliisajili kwa jina lake. Presha inapanda, presha inashuka.

Lakini pia majina ya mbona yanakaribiana kufanana na Mulugo au ni ndugu?
Mulugo Mulongo wote ni warongo
 
• WADAI AMEMWONGEZEA UMAARUFU LEMA, CHADEMA

na Waandishi wetu

VIGOGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwemo wabunge, wamemjia juu Mkuu wa Mkoa (RC) wa Arusha, Magessa Mulongo kwa jinsi alivyoshughulikia kesi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA).

Wabunge hao waliliambia gazeti hili mjini Dodoma kuwa kesi ya uchochezi iliyofunguliwa na serikali dhidi ya Lema kwa shinikizo la mkuu huyo, itaiathiri kwa kiasi kikubwa CCM.

Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola alisema kuwa amefuatilia kwa makini chanzo cha kesi ya Lema na hatimaye kukamatwa na polisi mithili ya gaidi, na kubaini kuwa hulka za utendaji kazi wa baadhi ya viongozi wa serikali zinawapa sifa na umaarufu zaidi CHADEMA.

“Mimi sitaki kuingilia kesi, lakini ukiangalia kuanzia ile inayoitwa video ya vurugu za Chuo cha Uhasibu Arusha na jinsi Mkuu wa Mkoa alivyofika eneo la tukio na kuondoka, utabaini udhaifu mkubwa wa kiongozi huyo ambao leo unamfanya Lema aonekane shujaa.

“Leo tunaingia kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani pale Arusha, tunaweza tukashinda, lakini tutafanya kazi ya ziada kwa sababu tu ya udhaifu wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha,” alisema Lugola.

Mbunge mwingine ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe, alisema alichokifanya Mulongo ni sehemu ya tatizo kubwa la viongozi wa serikali kujihusisha na ukereketwa wa kisiasa.

“Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa kuna kiongozi, tena hakumtaja jina, kwamba anapendwa kubebwa, alisema mwacheni abebwe. Alisema vile kuwazuia polisi kukabiliana na watu wanaopenda kumbeba kiongozi huyo.

“Mkuu wa Mkoa Arusha na wengine wanaokabiliana na wapinzani kwa nguvu kubwa bila sababu, hii inawaongezea umaarufu,” alisema mbunge huyo kutoka moja ya majimbo ya kanda ya kati.

Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya CCM ambaye pia hakutaka kutaja jina lake, alilaani jinsi mkuu wa mkoa huyo alivyojikoroga katika kushughulikia mzozo wa Chuo cha Uhasibu Arusha.

“Niliposoma ujumbe wa simu ya mkononi wa Lema ambao alidai umetoka kwa Mkuu wa Mkoa, nilishangaa sana. Sijui kwanini amefanya vile,” alisema kigogo huyo.

Aprili 24 mwaka huu, Mulongo aliliamuru Jeshi la Polisi mkoani Arusha kumkamata Lema kwa madai kuwa aliwachochea wanafunzi wa chuo hicho cha IAA kumzomea na kumrushia mawe.

Lema alizingirwa nyumbani kwake na maofisa wa polisi kitengo cha upelelezi na wale wa doria Ijumaa saa 5.30 usiku kisha kuchukuliwa hadi Kituo Kikuu cha Polisi kuhojiwa na kuwekwa rumande siku tatu hadi Jumatatu wiki hii alipofikishwa mahakamani.

Hata hivyo, madai ya Mulongo kuwa Lema alichochea wanafuzni hao yanakinzana na ushahidi wa video unaoonesha kuwa mbunge huyo alitumia kila aina ya ushawishi kuwasihi wasiandamane kufuatia mwenzao Elly Kago (22) kuuawa na watu wasiojulikana jirani na chuo.

Mapema kabla ya kukamatwa, Lema aliitisha mkutano na waandishi wa habari akidai kutishiwa na Mulongo kupitia ujumbe wa maandishi wa simu.

“Umeruka kihunzi cha kwanza, nitakuonyesha kuwa mimi ni serikali, ulikojificha nitakupata na nitakupa kesi ninayotaka mimi,’’ ulisomeka ujumbe huo uliotumwa kupitia simu namba 0752 960276 ambayo Lema alidai ni ya Mulungo.

Atisha waandishi

Wakati CCM wakiendelea kumlalamikia Mulongo kwa hatua zake dhidi ya Lema, kiongozi huyo jana aliwageukia waandishi wa habari wa Arusha akiwataka wawe makini kipindi hiki, akidai kuwa nao wanatumika na wanasiasa.

Akihutubia katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi, alisema kuwa ikibainika wanatumika nao watafikishwa katika vyombo vya sheria.

“Mimi nilikuwa Mkuu wa Wilaya Bagamoyo, hivi hivi wakawa hawanielewi na ikafika wakati wakanielewa kwani kuna miongoni mwao tulitaka kuwafikisha katika sheria, lakini tukayaacha kwa kuwa sisi ndio walezi,” alisema.

Mulongo aliongeza kuwa vitu ambavyo vinaandikwa si kweli kabisa, na kwamba wataendelea kufuatilia kwani baadhi ya waandishi wanashirikiana na wanasiasa kuwachafua viongozi wa serikali.

Alisema baadhi ya waandishi mkoani Arusha wamekuwa wakifanya kazi zao kwa ushabiki wa kisiasa na kuandika mambo ambayo hawana uhakika nayo.

“
Unapoingia katika mkakati wa kudhalilisha kiongozi wa serikali unakuwa umeiweka roho yako rehani, kuweni makini,” alisema.

Aidha alivionya vyama vya wafanyakazi mkoani Arusha kutoruhusu kutumiwa na watu kwa malengo ya kisiasa na pia waajiri waache kufanya kazi bila kufuata taratibu na sheria.

WAANDISHI WA HABARI SOMENI HAPO PENYE REDI. ... ROHO YAKO REHANI. MPO. TAKE CARE

“Unapoingia katika mkakati wa kudhalilisha kiongozi wa serikali unakuwa umeiweka roho yako rehani, kuweni makini,” alisema.
 
Kazi yenu ya kulipwa ili muichafue Serikali na viongozi wa CCM inaendelea vizuri, hakuna kiongozi mzuri kwenu hata anayesimamaia sheria, mzuri kwenu ni mwanachama yoyote alieko chadema, bahati nzuri wananchi wanaelewa kinachoendelea, HAMNA JIPYA HAPA.

wananchi wapi hao?sisi sio wananchi au?
 
Nilijua

Mbona hiyo kauli ya Mkuu wa mkoa hapo kwenye red inatisha sana? ina maana huwa wanashughulikia roho za mahasimu wao? Hii ni nini hasa kama sio kuua? Wanajamvi naomba mnifafanulie, pengine sijaielewa vizuri.
 
hapo kwenye RED ---- huyu jamaa ni hasara kwa taifa
 
“Unapoingia katika mkakati wa kudhalilisha kiongozi wa serikali unakuwa umeiweka roho yako rehani, kuweni makini,” alisema.

Nawasi wasi, kwa mtindo huu tutang'olewa kucha sana mwaka huu:twitch:
 
Kuna msemo usemao 'hasira za mkizi furaha ya mvuvi'. Mkizi ni watu kama kina Mulongo, Nchemba, Ndugai na wengine wengi kama hao. Hawa watu kwa watu wanaojua falsafa ya 'if one door is closed many more are open' watakubaliana nami kuwa wanatengeneza kitu kinaitwa kwa kingereza, 'conducive environment'. Ni watu ambao wakitumiwa vyema (hasa na upinzani) wanakuwa 'stepping stone' kuelekea malengo.

Mulongo hajaanza matatizo yake jana. Ni kitambo amekuwa akisumbuana na chadema Arusha tangu awe mkuu wa mkoa huo. Na tangu kipindi hicho hajawahi kufanikiwa katika mikakati yake ya kukivuruga chama mkoani humo. Sana sana amekuwa akimpiga chura teke. Majuzi alifanya kioja ambacho kwa wachambuzi wa mambo wanatosha kumweka katika kundi la wehu. Lakini waliompa dhamana wala hawaoni tatizo kwa taifa achilia mbali kwa chama chao.

Chadema wakiwa makini watafaidika sana na watu wa sampuli hii maana huwa hawajui kutekeleza mikakati yao. Kauli mpya kabisa aliyoitoa Mulongo Mei Mosi ni kuwatisha waandishi kwa kuwaambia kuwa wakiiandika serikali 'vibaya' wanaweka roho zao rehani. Kauli kama hizi hadi zinawashangaza wale walio nae katika boti moja kuwa anakiua chama.

Chadema lalamikeni ila katika malalamiko hayo zitumieni fursa wanazotoa hawa mkizi maana hawajui watendalo. Nilishawahi kuandika mada inayohusu umasiha wa Kikwete na watu wakawa wanaponda sana bila hata ya kujisshughulisha kusoma kati ya mistari. Lakini kuna watu wakisema 'tusitumie kondom ili virusi vituingie vizuri' wanasema hiyo ni within context. Harakati za Kikwete ni fursa tosha kwa upinzani kupenya mioyoni mwa wananchi na kupandikiza mbegu za mabadiliko. Tuwatumie vizuri kina Mulongo.
 
Mimi nakubaliana na wanasiasa wanaosema kuwa hawa maDC na maRC hawako ktk nafasi hizo kwa maslahi ya taifa bali hawa ni makada wa CCM. Jamani katiba mpya iziondoe nafasi hizi maana nchi inapnteza pesa nyingi kugharamha watu wasio na manufaa kwa taifa. DAS, RAS na wakurugenzi wanatosha sana kuongoza wilaya na mikoa. Hizi takataka zinazowekwa kwa kujuana na rais au mke ama watoto wake zisiwepo. Tunapoteza raslimali nyingi wakati walipa kodi tunazidi kutaabika na maisha magumu...! Hawatufai.
 
Polen me nawapa pole kuzaliwa kwenye serikal ambayo kila mtu anauwezo wakutoa amri na tamko! Sasa kama rc ni mwenyekit wa kamat ya ulinz na usalam. HalaFu ye ndo anaongoza kwa kutishia wa2 maisha. Me cjui bos wake yuko wapi. Dah! Makada bwana!
 
Amelikoroga, ccm walinywe naye. Wao ndo wanawatumia viongozi wa serikali kufanya kazi za siasa na kukandamiza vyama vingine, sasa amelikoroga wanataka alinywe peke yake? Wamtetee tu, mbona jangili Kinana wanamtetea?
 
lema ni smart na bahati yake ni kubwa ktk macho ya
Mungu.siku ile alisepa bomu likatua alipotoka.lengo lilikuwa nini km si kumua na rc nae auwawe na raia.
 
Do, magugu maji mengi kweli sijui yanatolewaje haya. Inaonekana mzee wa kuchomoa meno bila ganzi huyu. Waandishi mshaonywa kaeni chonjo
 
Back
Top Bottom