CCM wametengeneza tatizo, kisha "watalitatua"

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,192
Reaction score
99,924
Nashawishika kuamini kuwa hii ni danganya Toto ili waonekane kuwa wanawajali watu au kuwa Vyombo vyetu/vyao viko pamoja nasi.

Sasa hivi au baada ya muda kelele zitakapo kuwa nyingi watakuja na "kutengua" huu ujinga then watu au kile kikundi cha Praise Team wataongeza sauti ili waonekane wazalendo.

Time will tell. This time wakija msiwaamini.

IMG-20210715-WA0071.jpg
 
View attachment 1855482
Huyu ajawahi kulala njaa wala kutembea peku utotoni atayajua wapi maisha ya watz.
 
Nashawishika kuamini kuwa hii ni danganya Toto ili waonekane kuwa wanawajali watu au kuwa Vyombo vyetu/vyao viko pamoja nasi.

Sasa hivi au baada ya muda kelele zitakapo kuwa nyingi watakuja na "kutengua" huu ujinga then watu au kile kikundi cha Praise Team wataongeza sauti ili waonekane wazalendo.

Time will tell. This time wakija msiwaamini.

View attachment 1855482
Tungekuwa na umoja tusingewachagua hawa viumbe.
 
Mimi naona wangeacha TOZO ziendelee kwasababu wakizitoa itaonekana, walitengeneza tatizo ili WALITATUE 🤣🤣
mtu mzima ukijinyea unategemea nani akuchambe.......unakigeukia kinyesi chako...taraaatibuuu.......ndio hawa wajinga wa tozo....pambafu kabisa
 
Nashawishika kuamini kuwa hii ni danganya Toto ili waonekane kuwa wanawajali watu au kuwa Vyombo vyetu/vyao viko pamoja nasi.

Sasa hivi au baada ya muda kelele zitakapo kuwa nyingi watakuja na "kutengua" huu ujinga then watu au kile kikundi cha Praise Team wataongeza sauti ili waonekane wazalendo.

Time will tell. This time wakija msiwaamini.

View attachment 1855482
Wakitengua watakua wajinga. Hapo walipogusa ndio sehemu sahihi ya wananchi kuchangia kodi kama kwa hiari hawataki.. haushikiwi pistol ila unalipa kidi. Ndio maendeleo yanavyokuja kwa kulipa kodi.
 
Back
Top Bottom