CCM wametengeneza tatizo, kisha "watalitatua"

CCM wametengeneza tatizo, kisha "watalitatua"

Wakitengua watakua wajinga. Hapo walipogusa ndio sehemu sahihi ya wananchi kuchangia kodi kama kwa hiari hawataki.. haushikiwi pistol ila unalipa kidi. Ndio maendeleo yanavyokuja kwa kulipa kodi.
Hahahahaha Ona huyu!
 
Nashawishika kuamini kuwa hii ni danganya Toto ili waonekane kuwa wanawajali watu au kuwa Vyombo vyetu/vyao viko pamoja nasi.

Sasa hivi au baada ya muda kelele zitakapo kuwa nyingi watakuja na "kutengua" huu ujinga then watu au kile kikundi cha Praise Team wataongeza sauti ili waonekane wazalendo.

Time will tell. This time wakija msiwaamini.

View attachment 1855482
Gabachori tu hana akili wala huruma na ngozi nyeusi
 
Back
Top Bottom