nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
- Thread starter
-
- #61
Wamekwisha ambiwa kwamba wawe na subira kwani fuso bado zinawarudisha wale wanaotoka mbali kidogo,vilevile utaratibu wa kuwarudisha upo unaandaliwa endapo magari hayo yatachelewa.
Nna huawei nitapostije picha?
Ni kwanini maghufuli hashindikizwi akimaliza mkutano kama Lowassa?
Mkuu acha lawama bure. Mtu wa kijijini unamwambia usafiri bure na kumuona Diamond bure basi hata kama kuna mbuzi wa kuchunga atawaacha.Kwa nini wananchi hawa huwa hawakomi???????
Acheni unafiki.
tuma: support@jamiiforums.com wataziweka
Kila cku huwa wanatekelezwa huku nilpo ccm hula chakula migahawan na kusepa bla kulpa cjui hawajielew atakae ichagua n wa kupmwa akili
Wanarandaranda Viwanja Vya Furahisha Kuelekea Villa Park,chakusikitisha Wengi Ni Kina Kina Mama Na Wa Bibi,huu Ni Ukatili,kama Kuna Mwana Ccm Akisoma Huu Uzi Aujulishe Uongozi,simu Yangu Haina Uwezo Wa Ku Appload Picha,mwana Jf Aliyepo Maeneo Haya Mwenye Simu Fresh Anisaidie Kuwapiga Picha Na Kuziweka:Machokoraa Watafanya Yao Leo.
Mfa maji haish kutapatapa, ccm tuko vizuri