Na wao wajiandae kushitakiwa naomba CDM kama litatokea hili tusilivumilie tuchukue hatua stahili ili iwe fundisho kwa atakaye fanya kitu hicho kuanzia msambazaji na vituo vitakavyoonyesha.
Najua wapenda maendeleo wote tunajua ubaya wa ccm na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video inaonesha viongozi wa chadema wakipanga kufanya fujo kama alivosema mwigulu,si kwamba video hyo itakua na ukwel hapana ila kuna teknolojia itatmika ya editing na itarushwa katika vyombo vya habar na itasambazwa,narudia si video ya kweli ila ujanja wa hali ya juu umetumika ili kuwaaminisha watanzania.na weng wataamini..najua hili litatolewa ufafanuzi zaidi na wataalamu wa software zinazohusika.ila makamanda jiandaeni kwa hli
Take that
umakini unahitajikaKwa kutegemea mahakama zipi?
Uchunguzi utafanywa na Polisi hii inayoibeba CCM?
Najua wapenda maendeleo wote tunajua ubaya wa ccm na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video inaonesha viongozi wa chadema wakipanga kufanya fujo kama alivosema mwigulu,si kwamba video hyo itakua na ukwel hapana ila kuna teknolojia itatmika ya editing na itarushwa katika vyombo vya habar na itasambazwa,narudia si video ya kweli ila ujanja wa hali ya juu umetumika ili kuwaaminisha watanzania.na weng wataamini..najua hili litatolewa ufafanuzi zaidi na wataalamu wa software zinazohusika.ila makamanda jiandaeni kwa hli
Take that
Asikuchanganye huyo. Twende kazini.Na wewe ni swal gani ilo sasa?embu tujadili ilo bwana
that's very possible! i have the same feeling that kuna mchezo mchafu sana unapangwa ndani ya ccm kutoa pigo moja takatifu la kuichafua cdm. its a strange feeling... i think u may be right!
Mbona unajihami mapema? Kuna kitu gani unakiogopa? Fujo ni sehemu ya siasa za Chadema kwa hilo hakutakuwa na jipya la kushangaza na wala siamini kabisa kama CCM wana muda wa kupoteza
Chama
Gongo la mboto DSM
Duh! Kwa Mwigulu hili linwezekana yangu macho.
Mbona unahaha sana kisa kamchezo kamegundulika.
Wanainchi jipangeni kuikataa, wanasheria wa Chademe jiangeni kumburuza Mwigulu Mahakamani.
acha kubwabwaja wewe si ndio nyie mlisema kama hizo tuhuma ni za kweli mnaomba video, sasa mnahisi ipo mnaanza kujikinga kwa kutengeneza uongo, kwa nini hayo yasisemwe na viongozi wenyewe wa chadema, kwani jamaa si alisema wazi wazinajua wapenda maendeleo wote tunajua ubaya wa ccm na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video inaonesha viongozi wa chadema wakipanga kufanya fujo kama alivosema mwigulu,si kwamba video hyo itakua na ukwel hapana ila kuna teknolojia itatmika ya editing na itarushwa katika vyombo vya habar na itasambazwa,narudia si video ya kweli ila ujanja wa hali ya juu umetumika ili kuwaaminisha watanzania.na weng wataamini..najua hili litatolewa ufafanuzi zaidi na wataalamu wa software zinazohusika.ila makamanda jiandaeni kwa hli
take that
Hivi hii serikali ya CCM haina mambo ya kufanya zaidi ya kudeal na CHADEMA!!!!!!
Kuna wakati akili zinazofanana na za Mh Mwigulu zinakuwa kama primitive hivi..
Hata Makamba Sr alikuwa hivyo. Kama siasa za vyama vingi ni ngumu kwa wao kuzihandle,wapitishe referandum tena,na wazichakachue,tuitangazie dunia,tukubali kuwa mfumo wa multiparty umetushinda.. Badala ya kuboresha maisha ya wananchi wake,wao wako busy kubeza vyama pinzani,na kutumia hila,kurubuni wanachama wake kuhamia CCM..
Najua wapenda maendeleo wote tunajua ubaya wa ccm na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video inaonesha viongozi wa chadema wakipanga kufanya fujo kama alivosema mwigulu,si kwamba video hyo itakua na ukwel hapana ila kuna teknolojia itatmika ya editing na itarushwa katika vyombo vya habar na itasambazwa,narudia si video ya kweli ila ujanja wa hali ya juu umetumika ili kuwaaminisha watanzania.na weng wataamini..najua hili litatolewa ufafanuzi zaidi na wataalamu wa software zinazohusika.ila makamanda jiandaeni kwa hli
Take that
Sioni sababu ya kuwa na wasiwasi cause teknolojia ya leo inauwezo wa kutambua video ambayo ni fabricated, hata hao CCM wanaotaka kuitoa hiyo video wanalitambua hilo. Kama itatoka kweli swala litakalofuata ni CDM kuProve kisayansi kwamba hiyo video ni fabricated.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums