kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
Hivi CCM wameshasahau kuwa kuna vyama vingine nchini kila kukicha ni CDM,CDM,CDM shame on you!!!!!!!!
Na wao wajiandae kushitakiwa naomba CDM kama litatokea hili tusilivumilie tuchukue hatua stahili ili iwe fundisho kwa atakaye fanya kitu hicho kuanzia msambazaji na vituo vitakavyoonyesha.
wewe ushaiona hiyo video? kama hujaiona;Najua wapenda maendeleo wote tunajua ubaya wa ccm na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video inaonesha viongozi wa chadema wakipanga kufanya fujo kama alivosema mwigulu,si kwamba video hyo itakua na ukwel hapana ila kuna teknolojia itatmika ya editing na itarushwa katika vyombo vya habar na itasambazwa,narudia si video ya kweli ila ujanja wa hali ya juu umetumika ili kuwaaminisha watanzania.na weng wataamini..najua hili litatolewa ufafanuzi zaidi na wataalamu wa software zinazohusika.ila makamanda jiandaeni kwa hli
Take that
Dawa yake iko jikoni, hakika hatarudi bungeni 2015.Hata hivyo CDM wanaonekana kuzembea sana matamko ya Mwigulu na wapambe wake. Anzeni kuchukua hatua za kisheria dhidi yao. Mbona CDM wanasheria mpo kibao? Mnafanya nini?
Mwigulu ni mwiba sana kwa upinzani
Najua wapenda maendeleo wote tunajua ubaya wa ccm na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video inaonesha viongozi wa chadema wakipanga kufanya fujo kama alivosema mwigulu,si kwamba video hyo itakua na ukwel hapana ila kuna teknolojia itatmika ya editing na itarushwa katika vyombo vya habar na itasambazwa,narudia si video ya kweli ila ujanja wa hali ya juu umetumika ili kuwaaminisha watanzania.na weng wataamini..najua hili litatolewa ufafanuzi zaidi na wataalamu wa software zinazohusika.ila makamanda jiandaeni kwa hli
Take that
MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA. KIFO CHA NYANI KIKITIMIA MITI YOTE HUTELEZA. CDM ongezeni nguvu NYANI MZEE CCM hawezi tena kuparamia mti. KIMBILIA KAMATA UA TU. HIZI ni mbinu za kishenzi. IKITOKA tu nashauri ikamatwe iwe ushahidi ya kuwapeleka hawa majambazi HAGUE!!Najua wapenda maendeleo wote tunajua ubaya wa ccm na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video inaonesha viongozi wa chadema wakipanga kufanya fujo kama alivosema mwigulu,si kwamba video hyo itakua na ukwel hapana ila kuna teknolojia itatmika ya editing na itarushwa katika vyombo vya habar na itasambazwa,narudia si video ya kweli ila ujanja wa hali ya juu umetumika ili kuwaaminisha watanzania.na weng wataamini..najua hili litatolewa ufafanuzi zaidi na wataalamu wa software zinazohusika.ila makamanda jiandaeni kwa hli
Take that
Hivi hii serikali ya CCM haina mambo ya kufanya zaidi ya kudeal na CHADEMA!!!!!!