CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
235
Reaction score
1,275
d60e04959a58504a8cd34b7818e65bfd.jpg
497dd7dd70a59eac103cd37292bb6f45.jpg
244de6f98d88953a3f68cda7ef2b7c32.jpg
bb9bfe21a5ac3166ea95fc67981ad7a9.jpg


Chama cha mapinduzi ccm kimemtelekeza mwanachama wake na Msanii wao Wastara Sajuki ambae aliokuwa kwenye kikundi cha Mama Ongea na Mwanao.

Msanii huyo Licha ya kuwa Mlemavu aliamua kupambana ili ccm ishinde mpaka kupelekea kudondoka jukwaani ambapo ilipekea pingiri za mgongo kuhama na mguu kuanza kuoza.

Tokea aumie mpaka sasa yuko ndani hana msaada wowote mguu wake unaoza anahitaji milioni 30 ya matibabu viongozi wa ccm hawapokei namba yake.

Anahitaji msaada wa kila Mali ili asije kufa kwa sababu ya kuoza maana itapelekea kupata kansa ccm hawana kazi nae tena amekuwa karai hana kazi tena asubiri 2020 sasa kazi yao ni kununua wapinzani tu.

Yaani nimejaribu kumfatilia unaweza kulia hakuna hata kiongozi wa ccm ambae anataka kumuona yaani wanasubiri msiba wake wakapige picha hawa watu hawana utu.

Tumsaidieni wastara Namba zake ni 0713666113
0768666113
 
Mjomba mambo mengine bora ungekaa kimya unajuwa kwanini wastara sio mwanachama wa kudumu wastara ni mwanchama wa kawaida kama Mimi na wewe .napia wastara naweziwe kipindi kile walishamalizana na ccm hivyo nibora ungesema wastara anaitaji huruma yetu wananchi na hao wanaccm
 
Tatizo mastaa wengi wanapata pesa wanaishia kula bata tu na kushindana kuvaa.at the end of the day wakipata maproblem makubwa wanakuja kuomba msaada serikali ina mambo mengi sana ya kufanya wala siwezi ilaumu.na hili ni funzo kwa watu wote inatakiwa kupambana na hali yakwako binadamu saiv kila mtu anajari maisha yake tu
 
Wame mtelekezaje? Kwani walikua na makubaliano gani mbali ya makubaliano ya kuiganya kazi ile kwa malipo ambayo walimlipa? Kibinaadam.anahitaji kusaidiwa lakini sioni mantiki ya wewe kuibeba kama hoja.
Ila si ni mwanachama wao Je Katibu mkuu kisa analipwa akiugua hawezi kutibishwa.
 
Yani miongoni mwa wadada waliopitia Mambo magumu na bado anapitia Ni huyu wastara sielewi kwa nini anapitia magumu kiasi hiki,
Hili swali lipate mtu atakae wakilisha kwenye media yoyote walau tumchangia
Mi sihitaji kujua CCM imemtelekeza au la..! Jambo la muhimu ni kumsaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom