wekeni picha tuone umati wa watu. eti ccm imeishika pabaya ....,. kwenda.
Mind blindness !
Useful tip! Little did I know that you have that disability!
Hiyo unayosema inaitwa historia that was then this is now.mrema alikuwa akijaza watu kwenye mikutano yake...ulipofika wakati wa kura na matokeo akasema kaibiwa kura
Tunakushukuru kwa hii habari yako ya kibara bunda.Sio kuwauzia habari naona ni bora kuangalia what your enemies wanafanya nini, siishi Tanzania ninasoma online na nikiona habari ni nzuri kujadiliwa naipost sababu kuwa bora ni kuangalia wapinzani wako wanafanya nini kizuri au kibaya, na kama unaona ni vibaya wewe sio Mwanasiasa Mzuri hapa US wanafuatilia kila jambo kuona wapinzani wao wanafanya nini always sio kuangalia Mazuri tu;
INA MAANA DEMOCRASIA YETU NI FUNYU NI KUSIKILIZA MAZURI TUU?
Teh teh teh :dance::dance:, aliyepost hii inshu yaonekana amewashika pabaya wana cdm hata humu JF pia! Jamani kama uwezo wa kwenda Samunge hamna bora mshushe presha, mtaja kufwa bure!
wewe na huyo nape wote akili kidogo sana, ccm ndio chama kinachoongoza serikali wanapaswa watuambie wamefanya nini kwa mda wote wiliyoongaza nchi hii sio kutuletea porojo hapa eti wamevuna watu, shit wamevuna kutoka wapi, pelekeni propaganda zenu kwenye sehemu muafaka na zitawaghalimu sana,nape amefurahi kweli kuwashika pabaya chadema
Nasikia Nape anasema JF wamechakachua tena picha yake ili aonekane anagawa kanga kwa wanamme.