tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,832
- 25,138
Hatimaye chama kikongwe, sikivu na kinachotatua matatizo ya wananchi kwa wakati, wameanza kutoa huduma ya kutatua matatizo ya ndoa. Kama mke wako anakunyima unyumba, mchumba wako anakunyanyasa, hujaolewa au umeachika, usikate tamaa....CCM watakusaidia tatizo lako ndani ya muda mfupi.
Akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mkoani Ruvuma, katibu wa itikadi, mafunzo na uenezi wa CCM, amesema wananchi wote wanaokumbwa na matatizo ya ndoa, wayafikishe mbele ya CCM na yatapata ufumbuzi wa haraka.
MAONI YANGU
Asante sana CCM kwa kusikia kilio cha wananchi cha muda mrefu na kukifanyia kazi. Yale matatizo yaliyotusumbua kwa muda mrefu sasa yamepata ufumbuzi. Asante mama Samia kwa kuchaguliwa tena kwa kishindo (98%) kuongoza taifa hili. Mungu akubariki sana.
CC MamaSamia2025 ChoiceVariable Tlaatlaah Ritz Lucas mwashamba Lucas Mwashambwa