tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 26,021
- 25,422
Wakati UKAWA wakijipanga kuingia ikulu mwezi wa Oktoba, CCM wako bize kuvuruga mambo ili serikali ya UKAWA ije ikose rasilimali za kuendeshea nchi. Pamoja na hujuma hizi, CCM wameacha kutekeleza miradi mingi ya maendeleo kwa kisingizio kwamba Serikali ijayo (UKAWA) itayashughulikia.
Ushahidi wa hujuma hizi uko dhahiri kwa kila mtanzania mpenda maendeleo:
Mosi, thamani ya shilingi imeshuka kwa kiwango cha kutisha katika historia ya nchi hii. Wataalamu wa uchumi wanabainisha kwamba thamani ya shilingi imeshuka baada ya wahisani kupoteza imani na serikali ya CCM kufuatia ufisadi wao wa ESCROW na ufichaji wa mamilioni ya fedha ktk benki za Uswisi. CCM wanauvuruga uchumi kwa makusudi ili UKAWA wakiingia madarakani waanze kuurekebisha.
Pili, Serikali ya CCM imekataa kwa makusudi kutatua kero za wananchi na juzi Profesa Kikwete kasema kwamba mzigo huo ataiachia serikali ijayo (UKAWA).
Ukiunganisha haya matukio vizuri utagundua kwamba hizi ni hujuma za wazi kabisa dhidi ya serikali ya UKAWA.
:israel: