CCM wameanza kuihujumu Serikali ya UKAWA!

ili kufanikisha azma ya kwenda magogoni misa ya kwanza, nawaomba watanzania wote tujiandikishe kwenye daftari na tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa UKAWA watakaounda serikali mwaka 2016.
 
Ukawa wakiingia lazima tuwafirisi mali zao zote bila kuangalia huyu dada lizabo ar mke wa lzai

swissme
 
Hatuwezi kukubali watumie rasilimali za nchi kujinufaisha wao,wake zao,mahawara zao na watoto wao,ole Wao ukawa wakichukua nchi hakika watazirudisha au wataenda kunyea debe,acha wajione wao ndo watu na wengine majitu oktoba sio mbali...Naitamani sana oktoba nioneshe hasira zangu.
 
UKAWA wakiingia madarakani oktoba, kazi ya kwanza itakuwa kutaifisha mali zote za taifa zilizoibwa na haya majizi ya CCM na kisha kuyasweka segerea yakanyee debe kama wahalifu wengine.
 
UKAWA mna matatizo sana,kila siku mnakuja na stori za abunuwasi,hamna mashiko mmebaki kutapatapa.Sasa hiyo mwezi october mtaingiaje madarakani wakati mnasema CCM wanampango wa kujiongezea muda mpaka 2015?.

Njooni na facts acheni kuhororoja(from Faiza Foxy)
 
Mbona unaweweseka kama kuku anayetafuta kiota cha kutagia? Tulia sindano iingie fisadi mkubwa!
 
Back
Top Bottom